Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Kwahiyo unaamini mkristo akifa huku anaamini Yesu ni mtume na sio Mungu kwasababu Mungu ni mmoja tu na hafanani na chechote hukumu yake ni ipi?
Hiyo ni kufuru Kiislam, hukumu yake ni moto tu.

Lakini akiamini kuwa Muhammad ni Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, huyo anakuwa ni Muislam na anasamehewa dhambi zote za kabla ya kushahadia , kuwa Muislam.
 
Sasa kwa point hiyo hauoni inapingana na suratul maida?
 
Hapo wangeitwa maaskofu na wachungaji maombi yangekua kelele tu na kufokeana,ingechukua siku nzima
Labda Maaskofu wa Kilokole, hakuna Askofu wa Roman Catholic anaweza kupata muda kuja kwenye vitu vya kipuuzi.
 
Roma si wanapenda kunyonya hazina,wao utawakuta kwenye mambo ya serikali tu,wapate ruzuku
 
Back
Top Bottom