Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.

Haya kawaambieni upesi hao Al Hilal FC ya Sudan kuwa Simba SC haiishii tu Kujulikana CAF bali hata kule FIFA kwa Infantino inajulikana na inapendwa mno hivyo wabane wawezavyo na wafanye Fitna zote ila Fabrice Ngoma is RED with Simba Sports Club.

Kudadadeki.
pumba
 
Kwenye orodha waliyoitoa Al hilal ya wachezaji itakaowafungulia kesi sijaona jina la makabi lilepo, labda jitafakari upya!
 
Mkuu naona unataka nipigwe tusi moja ambalo litapelekea nilazwe mloganzila mwezi mmoja😂
We sema lolote mie nitakutetea huyu mbuzi mawe najua sehemu ya kumbana ni mshenzi mmoja tu Hana lolote👋👋👋 kama anataka vita nawe niite nije
 
Yanga haikuwa inamuhitaji Fabrice Ngoma na wala hakukuwa na Umafia wowote. Yanga ilianza kuongea na Menejiment ya Ngoma zamani kabla ya Simba, ila sasa baada ya kupata taarifa zake za injury za mara kwa mara, ikaachana naye. Yanga ingemtaka Ngoma asingeenda Simba; na hata baada ya kufuatwa na Simba bado Ngoma alitaka kujua hatima yaker Yanga, na akaambiwa kuwa aendelee tu na Simba.
 
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.

Haya kawaambieni upesi hao Al Hilal FC ya Sudan kuwa Simba SC haiishii tu Kujulikana CAF bali hata kule FIFA kwa Infantino inajulikana na inapendwa mno hivyo wabane wawezavyo na wafanye Fitna zote ila Fabrice Ngoma is RED with Simba Sports Club.

Kudadadeki.
Wakukurupuka official on move
 
Aina ya wahitimu wa Sauti ndo mlivyo? Kweli kaka Genta na Elimu Yako unatoa matusi kama mmakonde wa Tandahimba,shame on you
 
Ratiba yako ya Kupokea Mimba yake leo ni Saa ngapi? Inaonekana katika Watiaji Mimba zako Wote huyu Unamkubali mno na akiishindilia anaishindilia hasa myuuuuuuuuuuuuuuu.......na Mimba Nge.... Kudadadeki...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.

Haya kawaambieni upesi hao Al Hilal FC ya Sudan kuwa Simba SC haiishii tu Kujulikana CAF bali hata kule FIFA kwa Infantino inajulikana na inapendwa mno hivyo wabane wawezavyo na wafanye Fitna zote ila Fabrice Ngoma is RED with Simba Sports Club.

Kudadadeki.
Umefuka moshi wa kuni mbichi
 
genta huvi hao al hilal hawana ufahamu mpaka wachochewe na yanga?
 
Yanga haikuwa inamuhitaji Fabrice Ngoma na wala hakukuwa naUmafia wowote. Yanga ilianza kuongea na Menejiment ya Ngoma zamani kabla ya Simba, ila sasa baada ya kupata taarifa zake za injury za mara kwa mara, ikaachane naye. Yanga ingemtaka Ngoma asingeenda Simba; na hata baada ya kufuatwa na Simba bado Angoma alitaka kujua hatima yaker Yanga, na akaambiwa kuwa aendelee tu na Simba.
Rubbish.
 
Huyu kijna wa kikury Ni jitu zima hvyo limejaza mavi na kinyesi kichwani
 
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.

Haya kawaambieni upesi hao Al Hilal FC ya Sudan kuwa Simba SC haiishii tu Kujulikana CAF bali hata kule FIFA kwa Infantino inajulikana na inapendwa mno hivyo wabane wawezavyo na wafanye Fitna zote ila Fabrice Ngoma is RED with Simba Sports Club.

Kudadadeki.
Pumba
 
Halafu Popoma, mbona unapenda sana kuwatukania watu mama zao ambao kimsingi wanastahili kuheshimiwa?

Hivi na wewe umezaliwa na mama kweli kama sisi wengine, au mwenzetu uliokotwa tu chooni?
Nadhani huwa mnakosea kumchokoza,hekima na busara ingetumika sio vzr kumdhihaki mtu afu akikurudi mara 10 unakalia kilalamika,nadhani mnapaswa kuwa waangalifu.
 
Kwenye orodha waliyoitoa Al hilal ya wachezaji itakaowafungulia kesi sijaona jina la makabi lilepo, labda jitafakari upya!
Lakini yanga walihusishwa na makabi,sasa kama watamsajili watakuwa wana haki gani na watatumia kigezo gani kumchukua.?
 
Back
Top Bottom