Tuk
Imamu wa Msikiti wa Mtambani wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Sheikh Shaban Pembe amehoji sababu ya nguvu kubwa ambayo vyombo vya habari vya kimataifa na baadhi ya majirani wa Tanzania, hususan Kenya, wameiweka katika kuripoti matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
View attachment 3505837
Akitoa hotuba msikitini, Sheikh Pembe amesema katika siku za hivi karibuni vyombo vikubwa kama CNN vimerusha ripoti kuhusu matukio ya uchaguzi huo, huku BBC na vyombo kadhaa vya habari nchini Kenya vikiendelea kuripoti kwa kina kile kilichotokea, akihoji kama ni huruma ya dhati kwa Tanzania, au kama kuna “ajenda iliyojificha nyuma ya mwamvuli wa haki.”
Sheikh Pembe amesema ni muhimu Watanzania kujiuliza ni kwa nini matukio hayo yamepata umakini mkubwa wa kimataifa kuliko ilivyozoeleka.
Katika kutoa hoja yake, Sheikh Pembe pia ameeleza mtazamo wake kuhusu uhusiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya, akisema ushindani uliopo baina ya nchi hizo mbili unaweza kuwa moja ya sababu za maslahi yanayochochea namna baadhi ya vyombo vya habari au wadau wanavyochambua matukio ya uchaguzi wa Tanzania.
Amedai kuwa miaka ya nyuma bidhaa nyingi za Kenya zilikuwa zikitegemea soko la Tanzania, lakini sasa uzalishaji wa ndani umeongezeka na bidhaa nyingi zinazoingia sokoni zina nembo ya ‘Made in Tanzania’.
Tukisema Islamic, sio wote ,Islamic ina wasomi wazuri tu , mfano yule mzee amewahi kua CAG ,
Hawa wahuni wa sasa wanao dini ya Islamic kupitia imani ya waumini katika dhehebu husika watajua hawajui, binafsi bibi yangu alikua Islamic, babu alikua mkiristu , pamoja na enzi zile Babu aliamua watoto wake
Wachague anependa ukiristu au wislamu na walifanya hivyo ,that's mpaka sasa katika tabaka letu wapo ndugu waislam na wakiristu ,na tuanaishi vyema , neno wakafiri wanajua hawa wajinga wachache japo hutomlisha ndugu yako kile kipo tofauti na imani yake.
Sasa hawa Mashekhek ubwabwa hizi kauli za kijinga ,za kipumbavu ,wanazitoa wapi ? Tz haina dini na tumevurugwa sasa kama kama wamezoea chinja ngamia wajue damu ya binadamu sio nyepesi wakaulize watumishi idara ya afya (jeshi la tatu kwa maoni yangu) alafu waje ,hasa yule mpumbavu aliekua anaongea kama amewekewa meter ya umeme, nikuombeni serikali kwa mjibu wa sheria na vibali husika nikabidhini uyo mtu, niaishi nayae chini ya uchunguzi wenu , sintomdhulu ila atakula na kushiba tu bila wasiwasi wowote ataswali ibada zake zote ila atakula ninachotaka ale , tena kwa mapishi mazuri .
Ikumbukwe Kikwete anajua wapo watu kupitia imani hii tena takatifu maana wote twamtukuza Mungu walitaka kuleta ujinga wa kidini , kisa tu nani achinje kwenye mabucha ya nyama ,mwislamu au mkiristo,, moto ulikua mkubwa sana ila by the time Kikwete aliwafyatu vibaya mno.
Leo nchi ipo kwenye majonzi makuu ,unakuja ujinga uleule ,hamtobohi asema Bwana kama sio Mtume.
Note
Tanzania ni moja, dini ni kama siasa tu maana mbiguni hakua aliewahi fika na kurudi Duniani ni story tu za vitabu vya dini , kama upo ugomvi Islamic na Christian au Christian upo na ugomvi na Islamic tukutane mbinguni sio hapa Duniani tena tz nchi ya Mungu wetu
Duniani hakuna mwenye nacho .
Ujumbe huu ukamfikie shehe mmoja alietoa tamko huku misuli ya shingo imekomaa kama mkuna nazi toka kisiwa cha Mafia. Mjinga mkubwa sana, uyu namdaka , aje kwangu ataishi vizuri , lakini pawepo na ruhusa za kimamlaka zilizo hai katika ulimwengu wa roho au Duniani, nikikaa nae miezi sita ,ni matumaini yangu atarudi mitaani na kujua sie wakristu na Islamic ni ndugu na Mungu wetu ni Mmoja