Kwahiyo kuna Serikali isiyokuwa na Rais? Serikali inaweza Kukopa bila idhini ya Rais? Hopeless Phd Holder wa Awamu ya Sita

Kwahiyo kuna Serikali isiyokuwa na Rais? Serikali inaweza Kukopa bila idhini ya Rais? Hopeless Phd Holder wa Awamu ya Sita

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba.

Chanzo: ITV Tanzania

Yaani nikishamgundua Mtu kuwa hana Akili na bahati mbaya tena akawa ni mwana Yanga SC humchukia mazima mno.
 
round one: gentamycine Vs Ncha kali
gentamycine 3
Ncha kali 3
 
YAANI HUYU RAIS WA MAWE NA MIAMBA NI TATIZO.MNO. MH RAIS SSH TUHURUMIE WA TANZANIA. HII KITU IPUMZISHE KWANZA, INAKUDHALILISHA.
 
Back
Top Bottom