Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walichofanya LATRA ni sahihi, mabasi yote yasimamishwe kwanza kufanya safari, yakaguliwe au kuchunguzwa ili kubaini ubora wake.Endapo kama yatakuwa salama yaruhusiwe kuendelea kufanya kazi ya safari.Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu?
LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na mwana Simba SC Mwenzangu ) ambayo huwa yanaanguka, yanaua na yanasumbua sana Abiria ila huwa anawahi Kuwahongeni kuanzia nyie, Matrafiki, Waandishi wa Habari wasiripoti huku Wahanga wa Ajali ( Abiria ) wakinyamazishwa kwa Kutibiwa Kisiri na kupewa Pesa ili tu Kampuni yake isichafuke?
LATRA niendelee kutoa Mifano mingine juu ya Unafiki, Chuki na Uonevu wenu juu ya baadhi ya Makampuni ya Mabasi nchini Tanzania au kwa sasa niishie tu hapa?
Hivi kwa Watu wenye Akili timamu kabisa na Wameenda kweli Shule wanaweza Kujisifia mbele ya Watu wenye Akili Kubwa kuwa Kufungia Mabasi ndiko Kutamaliza Ajali za Barabarani?
Hovyo kabisa...!!
[emoji23][emoji23]Kuna mdau anasema eti hayo mabasi yajaribu kusafiri bila abiria tuone yatapata ajali