Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

Unakuta kiumbe kama huyu kuna familia wanamtegemea!

Ni wapi mabasi yamefungiwa?
 
Walichofanya LATRA ni sahihi, mabasi yote yasimamishwe kwanza kufanya safari, yakaguliwe au kuchunguzwa ili kubaini ubora wake.Endapo kama yatakuwa salama yaruhusiwe kuendelea kufanya kazi ya safari.
Aidha, Madereva nao wachunguzwe, endapo kama itabainika kama wao ndio sababu ya ajali basi hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya kila mhusika kulingana na makosa take, ikiwamo na kuwafutia leseni za udereva pale itakapobidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…