Kwahiyo Lissu atatolewa kwasababu ya mapendekezo ya Tume yatakayosomwa kesho?

KUKULU- KAKALA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
312
Reaction score
1,299
Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day one) maana muundiwa tume aliunda tume. Ila Ili kuua sooooo. Ya kuwa Lissu ametoka kisa hana kosa na serikali imeshindwa Kwenye kesi yake.

Moja ya mapendekezo ya tume ya yule Mzee Chande Kesho ukurasa wa 114 wa report hiyo ni kwamba tume imeshauri ili kurudisha umoja wa kitaifa na kuweza kutatua changamoto ndogo ndogo na Kasoro ndogo za kimfumo na kiuchaguzi wafungwa wa kisiasa hususani Mh. Tundu Lissu aachiwe huru.

Kwahiyo wanasubiria report iwe chambo cha Lissu kutolewa Ukonga Ili waweze kuimwagia tume sifa na serikali ionekane ilisikiliza matakwa ya tume.

Scratch my back, I will scratch yours. Muda utaongea!
 
Kila mtu anajua hiyo tume ni ya kisanii, na kumtoa Lisu lazima wafanye hivyo maana lengo la waliomuweka ndani limeshatimia. Hata wiki iliyopita walijaribu kucheza kete yao ionekane Lisu kaomba maridhiano. Ni bahati nzuri nzuri tu kizazi hili hakidanganyiki. Hiyo tume itakuwa na utumbo mwingi, ikiwemo na kumsafisha Samia. Ni mtu mjinga tu atategemea kusikia hiyo tume ukisema ukweli.
 
Sasa yeye ndiye chanzo cha yote, halafu tena aachiwe kinyemela.SIYO HAKI.Mdomo mchafu,kibri na jeuri vinahusika.
 
Lissu anatakiwa kuachiwa maana hana kesi hiyo sio sababu ya maridhiano waliyoandaa wauaji ,

Hiyo wanayoita kesi ni ya kubumba na isiyo na mantiki ndio maana jamhuri wameingia mitini na mashahidi wao wa kubumba.

Wasitake kutumia uhuru wa Lissu kujisafisha kupitia wanayoita [mazungumzo/maridhiano] halafu wamuwekee masharti ya kufanya siasa.

Maridhiano ya kweli yataanza na nchi kurudi kwenye uchaguzi upya, maiti walizozizika kwnye makaburi ya halaiki zirudishwe ndugu wazike kwa heshima, wauaji wote wawajibike kisheria.

Kinyume na hapo basi wajue nchi itakua ni volkano iliyopoa muda wowote itakuja ilipuke tena.
 
Sina Chama ila Lisu hafai kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa:
Ana jazba sana baada ya kupigwa risasi na maadui zake kwa Nia mbaya:
Lisu anafaa kuwa Mwanaharakati na sio Kiongozi wa kisiasa:
John Mnyika anafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA: Ana busara flani hivi:
Samahanini kwa niliowakwaza
 
Samia Suluhu Hassan ni maarufu sana kwa ulaghai; lakini pamoja na ufundi wake huo, ulaghai una mwisho wake

Hawezi kutumia ulaghai miaka yote ya kutawala nchi hii na watu wasitambue.

Kitendo cha kuua waTanzania kiasi kile, kamwe hakiwezi kutengenezewa ulaghai tu na watu wasahau matendo hayo maovu..

Sasa ni hivi. Kutolewa gerezani kwa Tundu Lissu, hata iwe ni kwa matakwa ya hiyoi tume feki hakutabadili chochote katika maovu aliyofanya Samia na genge lake' Hakutampunguzia uhalifu wake aliowafanyia waTanzania.
Tundu Lissu yupo gerezani siyo kwa makosa aliyofanya; bali ni maendelezo wa ulaghai ule ule anaofanya Samia.
Tundu Lissu hatoki gerezani kwa masharti yoyote; anatoka gerezani kwa sababu ndiyo haki yake, kwa hiyo hana lolote la kushukuru kwa tendo hilo.

Kazi inayotegemewa yeye na viongozi wenzake ndani ya chama, ni kuwaongoza waTanzania kuondoa uovu huu ndani ya taifa letu.

Ni muhimuitambulike kuwa waliofanya uhalifu hawana nafasi ya kushiriki katika kuponya taifa hili. Stahiki yao ni kuwajibishwa kwa matendo yao.
 
Kila mtu anajua hiyo tume ni ya kisanii, na kumtoa Lisu lazima wafanye hivyo maana lengo la waliomuweka ndani limeshatimia. Hata wiki iliyopita walijaribu kucheza kete yao ionekane Lisu kaomba maridhiano. Ni bahati nzuri nzuri tu kizazi hili hakidanganyiki. Hiyo tume itakuwa na utumbo mwingi, ikiwemo na kumsafisha Samia. Ni mtu mjinga tu atategemea kusikia hiyo tume ukisema ukweli.
Pamoja na kumsafisha Samia kwa uhalifu wake, ninakuhakikishia kwa asili mia kwamba hiyo ripoti hutaiona ikiwekwa wazi hata siku moja.
Vitatolewa vipande; kimoja kimoja kujidhi matakwa yao' kama hili la Lissu Kuachiwa; na pengine mipango ya marzungumzo kuelekea kwenye maridhiano mchongo.
Ripoti kamili haiwezi kutolewa ili kila mtu ajisomee mwenyewe yaliyomo ndani.
 
Watu wanaojidai kushangazwa/ kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO!

Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNO. International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifuatwi

Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE!. Huko Iran, MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABA YAKE MZAZI, MKE wake na Familia yake, wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168, wamelipua miundo mbinu nk…

Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee

Halafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze-

Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi. Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida. Mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini, kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani!

Yaani mtu mmoja akupiganie wewe…

Kama kweli mngekuwa na hio NIA…

Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru…

Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini…

Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk.

UCHUMI usimame, wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI, Ila nyie mnaendelea na your normal duties. MmmleshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAMU

Hlafu LISSU awapiganie, mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI. Sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI.

Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI, Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
 
Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day one) maana muundiwa tume aliunda tume. Ila Ili kuua sooooo.... Ya kuwa Lissu ametoka kisa hana kosa na serikali imeshindwa Kwenye kesi yake.

Moja ya mapendekezo ya tume ya yule Mzee Chande Kesho ukurasa wa 114 wa report hiyo ni kwamba tume imeshauri ili kurudisha umoja wa kitaifa na kuweza kutatua changamoto ndogo ndogo na Kasoro ndogo za kimfumo na kiuchaguzi wafungwa wa kisiasa hususani Mh. Tundu Lissu aachiwe huru.

Kwahiyo wanasubiria report iwe chambo cha Lissu kutolewa Ukonga Ili waweze kuimwagia tume sifa na serikali ionekane ilisikiliza matakwa ya tume.....

Scratch my back I will scratch yours...... Muda utaongea!
Baada ya ujio wa Dr. Chakwera, naona uwezelano wa makabidhiano ya kimya kimya bila ya kubainishwa kwa maudhuii yaliyopo ili kuficha nyeti za mtetea zisionekane.
 
Watu wanaojidai kushangazwa/ kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO!

Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNO. International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifuatwi

Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE!. Huko Iran, MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABA YAKE MZAZI, MKE wake na Familia yake, wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168, wamelipua miundo mbinu nk…

Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee

Halafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze-

Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi. Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida. Mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini, kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani!

Yaani mtu mmoja akupiganie wewe…

Kama kweli mngekuwa na hio NIA…

Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru…

Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini…

Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk.

UCHUMI usimame, wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI, Ila nyie mnaendelea na your normal duties. MmmleshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAMU

Hlafu LISSU awapiganie, mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI. Sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI.

Hakuna HAKI kwenye DUNIA K....
Plagiarism
TILI, Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachu

Plagiarism

kua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
 
Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day one) maana muundiwa tume aliunda tume. Ila Ili kuua sooooo.... Ya kuwa Lissu ametoka kisa hana kosa na serikali imeshindwa Kwenye kesi yake.

Moja ya mapendekezo ya tume ya yule Mzee Chande Kesho ukurasa wa 114 wa report hiyo ni kwamba tume imeshauri ili kurudisha umoja wa kitaifa na kuweza kutatua changamoto ndogo ndogo na Kasoro ndogo za kimfumo na kiuchaguzi wafungwa wa kisiasa hususani Mh. Tundu Lissu aachiwe huru.

Kwahiyo wanasubiria report iwe chambo cha Lissu kutolewa Ukonga Ili waweze kuimwagia tume sifa na serikali ionekane ilisikiliza matakwa ya tume.....

Scratch my back I will scratch yours...... Muda utaongea!
Pole kwa mvua au Hongera kwa mvua. Mvua ni neema ila jua ni kizungumkuti
 
Back
Top Bottom