Kwahiyo Lissu atatolewa kwasababu ya mapendekezo ya Tume yatakayosomwa kesho?

Kwahiyo Lissu atatolewa kwasababu ya mapendekezo ya Tume yatakayosomwa kesho?

Sina Chama ila Lisu hafai kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa:
Ana jazba sana baada ya kupigwa risasi na maadui zake kwa Nia mbaya:
Lisu anafaa kuwa Mwanaharakati na sio Kiongozi wa kisiasa:
John Mnyika anafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA: Ana busara flani hivi:
Samahanini kwa niliowakwaza
Mkutano Mkuu uliamua yeye awe Kiongozi wa kisiasa. Hakujiweka mwenyewe pale!
 
Watu wanaojidai kushangazwa/ kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO!

Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNO. International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifuatwi

Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE!. Huko Iran, MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABA YAKE MZAZI, MKE wake na Familia yake, wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168, wamelipua miundo mbinu nk…

Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee

Halafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze-

Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi. Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida. Mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini, kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani!

Yaani mtu mmoja akupiganie wewe…

Kama kweli mngekuwa na hio NIA…

Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru…

Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini…

Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk.

UCHUMI usimame, wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI, Ila nyie mnaendelea na your normal duties. MmmleshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAMU

Hlafu LISSU awapiganie, mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI. Sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI.

Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI, Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Una hoja, kuna unafiki kwa anayetaka TAL aendelee kugomea mazungumzo na serikali ilihali yeye kila siku anashirikiana nayo katika shughuli za uchumi.
 
Sasa yeye ndiye chanzo cha yote, halafu tena aachiwe kinyemela.SIYO HAKI.Mdomo mchafu,kibri na jeuri vinahusika.
Wewe ni mjinga lisu alikuwa gerezani hahusiki na lolote watanzania tunaakili isipokuwa nyie wajinga wachache na mtaisha pia.
 
Huku si kuingilia uhuru wa mahakama?
Au DPP ataelekezwa atie mpira kwapani
 
Kila mtu anajua hiyo tume ni ya kisanii, na kumtoa Lisu lazima wafanye hivyo maana lengo la waliomuweka ndani limeshatimia. Hata wiki iliyopita walijaribu kucheza kete yao ionekane Lisu kaomba maridhiano. Ni bahati nzuri nzuri tu kizazi hili hakidanganyiki. Hiyo tume itakuwa na utumbo mwingi, ikiwemo na kumsafisha Samia. Ni mtu mjinga tu atategemea kusikia hiyo tume ukisema ukweli.
Wanajaribu ku twist by any means ili wajipatie credit even though lissu kashinda
 
Wewe ni mjinga lisu alikuwa gerezani hahusiki na lolote watanzania tunaakili isipokuwa nyie wajinga wachache na mtaisha pia.
Nina uhakika mjinga namba 1 ni wewe. Uchunguzi hauanzii siku ya tukio tu, ni kabla na yatokanayo baada ya tukio.Lisu alivyokuwa anatoa kauli za ovyo alikuwa anatolea akiwa gerezani ?
 
Back
Top Bottom