KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Ninauhakika wee ni mjinga, wajinga mnakuaga hamna aibu, na mna roho mbaya.Sasa yeye ndiye chanzo cha yote, halafu tena aachiwe kinyemela.SIYO HAKI.Mdomo mchafu,kibri na jeuri vinahusika.
Vituo vya kupigia kura havina watu afu masanduku ya kura yamejaa.Sasa yeye ndiye chanzo cha yote, halafu tena aachiwe kinyemela.SIYO HAKI.Mdomo mchafu,kibri na jeuri vinahusika.
Mkuu. Mahakani walikosa tafasiri ya huo msamiati ili ionekane nikosa tena uhaini! Wewe unajua maana ya kukinukisha?Muacheni si alikininukisha?
Pamoja na kumsafisha Samia kwa uhalifu wake, ninakuhakikishia kwa asili mia kwamba hiyo ripoti hutaiona ikiwekwa wazi hata siku moja.Kila mtu anajua hiyo tume ni ya kisanii, na kumtoa Lisu lazima wafanye hivyo maana lengo la waliomuweka ndani limeshatimia. Hata wiki iliyopita walijaribu kucheza kete yao ionekane Lisu kaomba maridhiano. Ni bahati nzuri nzuri tu kizazi hili hakidanganyiki. Hiyo tume itakuwa na utumbo mwingi, ikiwemo na kumsafisha Samia. Ni mtu mjinga tu atategemea kusikia hiyo tume ukisema ukweli.
Baada ya ujio wa Dr. Chakwera, naona uwezelano wa makabidhiano ya kimya kimya bila ya kubainishwa kwa maudhuii yaliyopo ili kuficha nyeti za mtetea zisionekane.Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day one) maana muundiwa tume aliunda tume. Ila Ili kuua sooooo.... Ya kuwa Lissu ametoka kisa hana kosa na serikali imeshindwa Kwenye kesi yake.
Moja ya mapendekezo ya tume ya yule Mzee Chande Kesho ukurasa wa 114 wa report hiyo ni kwamba tume imeshauri ili kurudisha umoja wa kitaifa na kuweza kutatua changamoto ndogo ndogo na Kasoro ndogo za kimfumo na kiuchaguzi wafungwa wa kisiasa hususani Mh. Tundu Lissu aachiwe huru.
Kwahiyo wanasubiria report iwe chambo cha Lissu kutolewa Ukonga Ili waweze kuimwagia tume sifa na serikali ionekane ilisikiliza matakwa ya tume.....
Scratch my back I will scratch yours...... Muda utaongea!
Sasa yeye ndiye chanzo cha yote, halafu tena aachiwe kinyemela.SIYO HAKI.Mdomo mchafu,kibri na jeuri vinahusika.
PlagiarismWatu wanaojidai kushangazwa/ kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO!
Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNO. International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifuatwi
Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE!. Huko Iran, MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABA YAKE MZAZI, MKE wake na Familia yake, wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168, wamelipua miundo mbinu nk…
Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee
Halafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze-
Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi. Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida. Mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini, kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani!
Yaani mtu mmoja akupiganie wewe…
Kama kweli mngekuwa na hio NIA…
Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru…
Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini…
Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk.
UCHUMI usimame, wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI, Ila nyie mnaendelea na your normal duties. MmmleshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAMU
Hlafu LISSU awapiganie, mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI. Sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI.
Hakuna HAKI kwenye DUNIA K....
TILI, Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachu
Plagiarism
kua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Haina shida, pambana na hojaPlagiarism
Pole kwa mvua au Hongera kwa mvua. Mvua ni neema ila jua ni kizungumkutiPoleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day one) maana muundiwa tume aliunda tume. Ila Ili kuua sooooo.... Ya kuwa Lissu ametoka kisa hana kosa na serikali imeshindwa Kwenye kesi yake.
Moja ya mapendekezo ya tume ya yule Mzee Chande Kesho ukurasa wa 114 wa report hiyo ni kwamba tume imeshauri ili kurudisha umoja wa kitaifa na kuweza kutatua changamoto ndogo ndogo na Kasoro ndogo za kimfumo na kiuchaguzi wafungwa wa kisiasa hususani Mh. Tundu Lissu aachiwe huru.
Kwahiyo wanasubiria report iwe chambo cha Lissu kutolewa Ukonga Ili waweze kuimwagia tume sifa na serikali ionekane ilisikiliza matakwa ya tume.....
Scratch my back I will scratch yours...... Muda utaongea!