Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipongeze kitu gani Anna? Walete suluhisho lenye akili na sio huu mchezo?Duuh yani unalalamika badala ya kupongeza!!!
Hiyo iwe hatua ya muda mfupi sana. Serikali inatakiwa itengeneze hilo eneo. Fedha wanazo lakini hawajali. Kazi kusafiri kwenye business class na kukaa hotel kubwa kubwa. Na kuendesha magari ya kifahari.Mkuu ishawahi kutokea ajali mbaya Sana ya coaster hapo Inyala...acha tu wasubiriane
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Kupongeza ujinga? Serikali ina wajibu wa kujenga eneo husika na siyo kuzuia magari.Duuh yani unalalamika badala ya kupongeza!!!
Kama una haraka paa na ungoAcha masihara kijana, nimepoteza masaa matatu bila sababu za msingi.
That was a short time measure na waliweka hilo very clear from the beginning! Kuna bypass pale kutoka Inyala mpaka Songwe tumeona ikiongelewa khs taratibu zake kukamilika! Sasa waache utaratibu huo wa kuzuia magari kwa sasa kama short term measure watu waendelee kufa pale ??? Tangu waanze hatuoni kuwa ajali kipande kile hazisikiki tena ? Nadhani tujaribu kuappreciate Yale madogo tukiendelea kusubiri MakubwaKupongeza ujinga? Serikali ina wajibu wa kujenga eneo husika na siyo kuzuia magari.
Dar now . Ofcoz kuna suluhisho la hizo bypass hopefully likikamilika kila kitu kitakaa Sawa . Inakera kusubiri sana ila let’s be positive kwa hilo ili kuepusha ajali pale .. Tumepoteza sana watu eneo lile … mimi nikiwaza safari ya Mbeya inanijia lile eneo kwanza . Ni kwamba hizo long term goals zikimbizane kutekelezwa kuondoka hiyo adha .Nipongeze kitu gani Anna? Walete suluhisho lenye akili na sio huu mchezo?
Btw how are you? Bado upo Tanga? Naona mtwara uliiacha jumla.
Alafu iyo scania unakuta Ina tani 30 mzigo plus kufeli hatoki mtu.Tulia wewe utakutana na 113 imefeli
Unachoandika kinathibitisha ulivyo.Muwe mnauliza sababu za kufanya hivyo na solution zinazofanyiwa kazi sio kuangalia pilau tu kwenye simu yako kila kitu kipo online.
Kodi hulipi bado unataka maendeleo kama Ulaya.
Nimeishi mbeya zaidi ya miaka 10Mkuu kama hujawai kuishi hayo maeneo sawa,lakini tunayoyajua hayo maeneo tunaona ni sawa tu,nataman ungeshuhudia hata ajali moja tu uone jinsi zinavyotokeaga halafu uirudie hii post yako
Umewai shuhudia jinsi ajali zinavyotokea hayo maeneo?Nimeishi mbeya zaidi ya miaka 10
Alikufa kwa makosa ya kibinadamu na sio kwasababu ya hali ya barabara.Hivi yule DED mwanamke si alifia hapo na dereva wake
Nikija dar nitakucheki.Dar now . Ofcoz kuna suluhisho la hizo bypass hopefully likikamilika kila kitu kitakaa Sawa . Inakera kusubiri sana ila let’s be positive kwa hilo ili kuepusha ajali pale .. Tumepoteza sana watu eneo lile … mimi nikiwaza safari ya Mbeya inanijia lile eneo kwanza . Ni kwamba hizo long term goals zikimbizane kutekelezwa kuondoka hiyo adha .
Aliambiwa asubiri.akabishaAlikufa kwa makosa ya kibinadamu na sio kwasababu ya hali ya barabara.
Eeh ded wa Igunga fatma alimalizikia pale inyala na dereva wake,inyala noma.Hivi yule DED mwanamke si alifia hapo na dereva wake
Sio tu demu Bali msimbe aliyezalishwa na wenzake na kuachwa.Yuko tayari kufa kuliko kupoteza dk 30, na unakuta alikuwa amemfuata demu.