Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Mzee wanguuu
 
Ndio anakuonya hapo kiaina dada asipokata mauno vzr hakuna msosi na mnaweza hata kufukuzwa wote🤣
Namkubali Dada yangu kwenye hiyo sekta ya miuno yuko fantastic 🔥
 
Walivyo kama vifutu akhaa!!

Sema maliza masomo urudi kijijini ukalime lasivyo shemeji hachekeshi🤣
Shemeji hana nongwa, tushamuweka hapa 🫱 c unajua tena wapare kwa uchawi 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…