Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Aiseeee kumbe ndo tabia yako mkuu. Hongera kwa kukwanguliwa ukoko wote. Nyuzi zako nyingi kukandia wanawake tu najiuliza kosa ni la nani kati ya wazazi wawili,yupi alikupa trauma mkuu?
Jiwe limempata jibwa koko gizani.😂😂😂😂
 
Hat kama alibakwa, bado huyo mbakaji akirudi na kuomba msamaha atalomba tuu huyo mwanamke mana tyr jamaa ana ushahidi wa mtoto hapo
Ww Single mother pro max utatapika sana mpaka uteme nyongo, n mwendo wa kuwapelekea moto tuu nyie single mother mpaka muwafundishe mabinti zenu tabia njema 🔥
 
Hat kama alibakwa, bado huyo mbakaji akirudi na kuomba msamaha atalomba tuu huyo mwanamke mana tyr jamaa ana ushahidi wa mtoto hapo
Mkuu Upo serious au unachangamsha genge !🤔
Umejaribu ku-assume ni binti yako amekuwa single mother kwasababu kama hizo!
 
Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako

Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0?

Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili isichomoke, huku baba mtoto akiisugua kwa ndani kabisa kama anakwangua ukoko wa wali kwenye sufuria.

Daah.! sema ngoja tukuache mwanetu. Maana tukiongea sana tutajenga chuki.
Maisha hayana formula.
Ishi kadri ya unavyoona sawa.

Unaweza kukomaa na bikra wako na ukachapika vibaya na ukaanza mechi 1 bila na ukala mema ya nchi....

Muhimu tafuta mhalifu mnayewezana na mkaelewana. Maisha yana mengi sana.
 
Mkuu Upo serious au unachangamsha genge !🤔
Umejaribu ku-assume ni binti yako amekuwa single mother kwasababu kama hizo!
Kitu ambacho sisi wanaume kinachotufanya hatutaki single mother n kwa sababu lazima alombwe na huyo aliyezaa nae bila kujali n kwa namna gn walikutana au kumalizana
 
Maisha hayana formula.
Ishi kadri ya unavyoona sawa.

Unaweza kukomaa na bikra wako na ukachapika vibaya na ukaanza mechi 1 bila na ukala mema ya nchi....

Muhimu tafuta mhalifu mnayewezana na mkaelewana. Maisha yana mengi sana.
Fumbo la mustakabali wa maisha sio sababu ya kufanya gamble kwa mwanamke ambae tayari ushaona redflag. Do your homework
 
Back
Top Bottom