Natafuta Ajira
Kwanza naomba niambie, tofauti ya single mother ni ipi?
Je, ni yule aliyezaa bila ndoa yaani binti akapata mtoto na baadaye akakosana na mpenzi wake?
Au ni yule aliyezaa ndani ya ndoa, halafu baadaye ndoa ikavunjika na yeye akalazimika kubaki na watoto?
Au single mother ni mwanamke yeyote aliyezaa hata kama haishi na watoto wake? Nijibu kwanza hapo na leo pia nina muda š
Na pia, kuna tofauti gani ya kitabia kati ya mwanamke aliyezaa na yule ambaye hajazaa?
Ni kwamba mwanamke akishazaa huwa anabadilika tabia ukilinganisha na yule ambaye hajawahi kuzaa?
Na kweli toa sababu
Halafu kuna mwanamke ambaye amezaa mtoto mmoja, na mwingine ambaye amefanya abortion ya mimba 1, 2, 3, 4, 5... Hii inasound vipi?
Huyu nae ni single mother wa marehemu au vipi?
Nashangazwa na wanaume wote wanaounga mkono hayo mawazo yako finyu ukifuatilia comments zao unaweza walau kugundua ni watu wa namna gani (povu ruhsa)
Hivi wewe
Natafuta Ajira na wenzako mnadhani tabia ya mwanamke hubadilishwa pindi tu anapo ingia leba na kupush mtoto š
Mwanamke yeyote anaweza kucheat na ex wake, haijalishi wamezaa pamoja au hawajazaa
Sababu za kucheat huwa sio kuzaa pamoja tu
Cheating hutokana na tabia ya mfanyaji mwengine ni malaya tu asiejali kuhusu mwili wake yeye hutomba/ hutombwa na yeyeto alie mbele yake
Pia inaweza kuwa kulipa kisasi, tamaa, kutoridhishwa na mwenza, au sababu nyingine nyingi
Watu wengine huwa kwenye mahusiano kwa sababu fulani ambayo sio upendo hapa cheating inaweza kuwa rahisi zaidi kufanyika
Kwahiyo hiyo dhana ya single mother ku cheat na baby dad wake haina maana na kama ni kweli basi walaumiwe wote wawili unless kama mwanaume anabakwa
Ningeshauri tu unapaswa kumpima mwanamke unayetaka kuingia naye kwenye mahusiano kwa mambo mengi tu tena mengii sana sio kigezo cha amezaa au hajazaaāļø
Kama wewe mwanaume unampima mwanamke kwa kigezo cha kuzaa tu, wewe hopeless š
Kwa sababu huyo mwanamke before kuzaa alikua binti
So kama kigezo chako kikubwa ni hicho wewe huwezi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi akili ni ndogoāļø
Unajua kwanini huwa nakupinga?
Natafuta Ajira ni kwa sababu umejaa ubinafsi na chuki dhidi ya gender ya kike huku ukisahau kwamba hiyo gender yako inaweza kutomba hata mbwa kwa kiwewe cha nyege š
Tatizo sio single mother
Tatizo ni watu wawili mwanaume na mwanamke kukosa uaminifu kati yao mpaka kufikia hatua ya kutengana na kuleta mazingira magumu kwa watoto
Na sio hizo nonsense unazoongea
Kuhusu bikra iko wazi kama wewe mwanaume huna bikra huna haki kabisa kutamka neno bikra achilia mbali kuipata
Nipo live na muda ninao
ShesRise_1 š