Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kyuma😂💔Kuwa na mahusiano na single mother inauma ila mhusika hawezi kuonyesha wazi.
Napoishi kuna jamaa ameoa single mother, huyo mtoto ana miaka 15+ hv
Bado tena huyo mwanamke akazaa na mwanaume mwingine huku bado akiishi na huyo jamaa ndani, na jamaa anajua kabisa huyu mtoto sio wangu ila mshikaji yupo tuu kmmk
Ah cjui huyo mwanamke anampa nini jamaa humo ndani mpaka jamaa amekuwa mpumbavu kiasi hiko 🙌