Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #121
SawaSio kweli📌📌
SawaSio kweli📌📌
Analeta nguo moja moja anaacha, kumbuka hapo hamna makubaliano ya kuoana lakini yeye ashajipa cheoHongera,pendezesheni mageto hayo.mwingine anahamia kabisa.
Zipo?Acha hizo bhana
Mwisho wa siku mimbaAnaleta nguo moja moja anaacha, kumbuka hapo hamna makubaliano ya kuoana lakini yeye ashajipa cheo
Most of them Mimba zimekuja kwa disaini hiiMwisho wa siku mimba
Kwamba hizo sio tabia zakoZipo?
Kabisa kabisa Mimi ni mtu wa jamii naheshimikaKwamba hizo sio tabia zako
Omba omba la kimataifa🫡Safi, bc nakuja pm kuomba kitu fulani 😎
Najua una wivu kuona mwenzako amebahatika, anyway usijali nawe utapata mwanaume sahihi kama mm 😎Omba omba la kimataifa🫡
Ndugu wa nini sema dada labda naye sipend awe single mama mjomba ninae lkn simfurahii sista qnashusha brandHIvi we jamaa huna ndugu yako yeyote Mwanamke aliyezalishwa na kuachwa?
Sio tuu mzazi mwenzake awe amekufa, mwanaume hutakiwi kuwa na single mother yeyote yule hata kama mzazi mwenzake ni Yesu au mtume Mohammed 😎Kwahiyo unaungana na mleta mada kwamba mwanaume hatakiwi kuoa single mother ambaye baba watoto wake hajafa😅?.
Au jamaa anapewa mkungu humo ndani 😎Itakuwa jamaa akifinyiwa kwa ndani anasahau kila kitu..
Mwanamke akishajua udhaifu wako ni either autumie kuku angamiza au kukuimarisha..
Kwamba kwenye tendo watu hawaoni?😅🤪Wewe umejuaje njia zote ziko wazi
Au wasemaje 😎
SIngle Maza mkimbie kama ukomaSio tuu mzazi mwenzake awe amekufa, mwanaume hutakiwi kuwa na single mother yeyote yule hata kama mzazi mwenzake ni Yesu au mtume Mohammed 😎
Yeah miaka ya nyuma kidogo wakati tunakuwa geto linakuwa na redio (Spika kubwa ya Panasonic) inawekwa kwenye chungu au dumu,ukutani yanabandikwa magazeti, kipindi hicho hamna subwoofer wala sound bar, na demu akija geto anaona geto kali.Hongera,pendezesheni mageto hayo.mwingine anahamia kabisa.
Sina hizo taarifa za huyo demu 😎We chokoraa unaniwaza umeshindwa kumlisha demu wako mwenye mdomo kama young lunya🤣
Takbir ⚔️SIngle Maza muombie kama ukoma
Takataka🚮Najua una wivu kuona mwenzako amebahatika, anyway usijali nawe utapata mwanaume sahihi kama mm 😎