Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Wapo wanaokataa,hasa wale wenye trauma za mahusiano yaliyopita,ila wenye njaa wanakubali,wasio na misimamo. Lakini pia kwann uoe single mother wakati unafahamu kabisa mwanaume wake yupo hai!!? Mambo mengine huwa mnayatafuta wenyewe
Kwahiyo unaungana na mleta mada kwamba mwanaume hatakiwi kuoa single mother ambaye baba watoto wake hajafa😅?.
 
Inawezekana aisee, mana kwa akili ya kawaida sio rahisi mwanaume kuwa na akili hizo

Na bado mwanamke anatoka nje anarudi usiku sana, mtapigana hapo, mtatukanana Ila bado jamaa amekaza tuu 🙌
Itakuwa jamaa akifinyiwa kwa ndani anasahau kila kitu..

Mwanamke akishajua udhaifu wako ni either autumie kuku angamiza au kukuimarisha..
 
We jamaa unaweza kufanya watu kupata shida za kisaikolojia. Ila speaking from experience, mwanamke hua hawezi kumnyima mzazi mwenzie labda mwanamme asiwe interested na asitengeneze kabisa mazingira ya kumla mzazi mwenzie au sijui wawe waliachana kwa ugomvi mzito level ya world wari. Ni kama vile mwanammke always anahitaji kuprove kwamba ningeweza kuwa mkeo na maisha ya ndoa yakanyooka, so uki show interest anahisi ndo umerudi mtimize ndoto zake.
Another plain fact
 
Back
Top Bottom