Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Yeah miaka ya nyuma kidogo wakati tunakuwa geto linakuwa na redio (Spika kubwa ya Panasonic) inawekwa kwenye chungu au dumu,ukutani yanabandikwa magazeti, kipindi hicho hamna subwoofer wala sound bar, na demu akija geto anaona geto kali.

Kuna baadhi ya gen Z wamepatikana kupitia hayo mageto. 97,98,99,mpaka 2000 mwanzoni.
Daah mhenga umenikumbusha mageto ya kubandika magazeti ukuta mzima
 
Sio tuu mzazi mwenzake awe amekufa, mwanaume hutakiwi kuwa na single mother yeyote yule hata kama mzazi mwenzake ni Yesu au mtume Mohammed 😎
Kwangu inategemea. Kuna wanawake wamekuwa single motherz kwasababu ya tabia mbovu za waume zao, hawa sio kwamba ni malaya mazingira magumu yamewafanya waondoke na kuishi peke yao. Mtu wa aina hii ana kosa gani sasa. Wa kukaa nae mbali ni hawa wameachika mara 4 ,5 au kumi nk, pamoja na ho ma-ex wa mtume. Kama ameshindwa kuishi mtakatifu huyo atakuwa na shida serious.
 
Mkuu hapo kwenye kukwangua ukoko ni uongo hivi unajua mimba inaingia hata bila kutumia manguvu cha msingi kuwe na upevushaji tu. Mengine ni mbwembwe tu za burudani hasa chomoa chomeka.
Big point ndio maana kwenye suala la kushika mimba huwezi kusikia nguvu za kiume hata wale wa kimoja chali wanajaza mimba cha msingi yai liwe teyari.
 
Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako

Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0?

Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili isichomoke, huku baba mtoto akiisugua kwa ndani kabisa kama anakwangua ukoko wa wali kwenye sufuria.

Daah.! sema ngoja tukuache mwanetu. Maana tukiongea sana tutajenga chuki.
Una gubu Kali sana aisee 🤣🤣🤣
 
Kwangu inategemea. Kuna wanawake wamekuwa single motherz kwasababu ya tabia mbovu za waume zao, hawa sio kwamba ni malaya mazingira magumu yamewafanya waondoke na kuishi peke yao. Mtu wa aina hii ana kosa gani sasa. Wa kukaa nae mbali ni hawa wameachika mara 4 ,5 au kumi nk, pamoja na ho ma-ex wa mtume. Kama ameshindwa kuishi mtakatifu huyo atakuwa na shida serious.
Nikwambie ukweli wanawake wa aina hiyo huwa wanapata waume wengine tena chaap
 
I second you mkuu Natafuta Ajira . Hili suala haliingii akilini kabisa. Yaani mabinti wazuri wenye bikra zote, wenye joto na msisimko wapo halafu uhangaike na single mama. Tena unapropose kwa kupiga goti,

WHAT A SHAME!
Kukubali ubaba wa kambo ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye ukichaa. Step daddies ni wa kuwaishwa milembe
 
Yeah miaka ya nyuma kidogo wakati tunakuwa geto linakuwa na redio (Spika kubwa ya Panasonic) inawekwa kwenye chungu au dumu,ukutani yanabandikwa magazeti, kipindi hicho hamna subwoofer wala sound bar, na demu akija geto anaona geto kali.

Kuna baadhi ya gen Z wamepatikana kupitia hayo mageto. 97,98,99,mpaka 2000 mwanzoni.
Aisee🤣makaratasi mnabandikia big G🤣
 
Back
Top Bottom