Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Ebu tuone
njoo karimjee hapa utanikuta na subaru yangu 😎
1000045537.jpg
 
Safi kabisa mkuu,ila dunia inazunguka kwa kasi sana ,zamani mwanamke awe binti awe mtu mzima ulikua ukimshika tako tu hata kwa matani uuo ugomvi sio mdogo, ila siku hizi banah wanacheka eti😀😀
Sasa wakiwa wakali unafikiri hela ya kununua iphone itapatikana vipi
 
Back
Top Bottom