Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Vipi na mwanaume aliyeachwa kwa sababu ya tabia zake mbovu mbovu mfano umalaya, uvivu, uchafu, ulevi uliopindukia nk naye bado anastahili bikra au mwanamke aliyejitunza vizuri!
Sasa mwanamke mwenye akili timamu na kujiheshimu unawezaje kuwa na mwanaume wa hvy?
 
Sikutishi ila wewe ndiye utakayekuwa baba kwenye hiyo familia or else mtalala njaa😁
Ah kudadeki, una wivu sana ww kiande 😂
Unataka na mwenzako abaki single mother kama ww wakat mm husband material Nipo hapa 😂
 
Back
Top Bottom