Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Hayo maswali/madodoso huwa nia ni kuwavuruga waungwana.Waacheni watu waishi kadiri ya chaguzi zao.Nanyi muendelee aidha na suluhu bin suluhu zenu(0-0)au mfungane kwa mashuti ya mbali.
 
Ni HAKIKA INAFIKIRISHA SANA.
Japo matatizo yote yanasababishwa na suala la malezi na makuzi ya mtu tangu akiwa mtoto, asilimia kubwa wazazi ni hawalei watoto ipasavyo, tatizo sio mtu kuwa single mother inshu ni familia aliyokulia na shule aliyosomea.

Hadhi ya mzazi hufanya mtoto ajivune.
 
Asilimia kubwa ni ubakaji hasa hivi vitoto vya shule ndio hao leo mnaowaita single mothers maana mimba za utotoni ni nyingi sana. Single mothers wa kujitakia ni hawa wanaodaka mimba ili kulazimisha mahusiano kisha yanafeli hawa ukioa kuchapiwa hakuepukiki
Kama hao wanaume huwa wanawabaka basi ni kitendo kibaya sana wanafanya
 
Sasa mshkaji kama hataki malezi amwage nje sio wanawake wote wanafahamu siku nzuri na mbaya.(ndo maana lowassa alitamani kuboresha elimu zaidi,elimu ya uzazi haijaeleweka ni somo la wote mkuu) Halafu mnapenda hivi vitoto ndo kabisaa vinadaka mimba bila kujua
Na kwann uende kwa mshikaji ukiwa date mbaya na bado tena unakubali amwage ndani
 
Limbwata hilo mkuu, ni mkoa gani huo?
 
Tuishi kwenye haya maneno ya wazazi wetu 🙏
 
Sema ngoja tukuache mwanetu 😆
 
Wapo wanaokataa,hasa wale wenye trauma za mahusiano yaliyopita,ila wenye njaa wanakubali,wasio na misimamo. Lakini pia kwann uoe single mother wakati unafahamu kabisa mwanaume wake yupo hai!!? Mambo mengine huwa mnayatafuta wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…