Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nauliza tu Ili nijue wakuu. Hii itaniwezesha kushangaa ya ulimwengu maana nilijua hilo jambo limeshakuwa historia Sasa hivi.
Huyu andunje mpaka aweke lader kukojolea?
Wnzako hawasemi 'chumvini', wanasema: 'uvinza' ili kupandisha hadhi ya Wilaya ya Mkoa flani.Nauliza tu Ili nijue wakuu. Hii itaniwezesha kushangaa ya ulimwengu maana nilijua hilo jambo limeshakuwa historia Sasa hivi.
UongoUtawajua kwa kutazama rangi za midomo yao
Kuna wengine bila kwenda huko bado hawajafurahia mshenyento.Nauliza tu Ili nijue wakuu. Hii itaniwezesha kushangaa ya ulimwengu maana nilijua hilo jambo limeshakuwa historia Sasa hivi.
Wengi wameungua midomoUongo
duuh kwahy kule chini kuna moto?Wengi wameungua midomo