888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 472
- 581
Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi.
Kwa tafsiri rahisi, kama kweli hivyo, basi kila mwenye Namba ya NIDA atasomeka pia kama mwanachama wa CCM? 😳
Sasa kabla sijashiriki ushuhuda ninaouhisi ambao binafsi nimeexpirience, naomba kuuliza:
1.Je, hii ni kweli kisheria na kiuhalisia, au ni kauli tu za kisiasa?
2.Kama ni kweli, inamaanisha nini kwa vyama vingine vya siasa na dhana ya tume huru ya uchaguzi?
3.Kwa nini hati ya taifa (NIDA) na haki ya kiraia (kadi ya mpiga kura) viunganishwe na kadi ya chama cha kisiasa?
Hii ikitokea, je, si sawa na kusema chama kimoja kinamiliki “data base” ya wananchi wote?
TAKUKURU, INEC na mamlaka nyingine zina nafasi gani kwenye jambo kama hili?
Nitaelezea ushuhuda wangu tu