GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama huoni kosa kucheka kwa mtu mzima wakati mtoto mdogo akifanyiwa unyama basi hakika una walakini ndugu na pengine una tofauti ndogo sana na yule mwalimu mpigaji.Kwa kucheka kwao wametenda kosa gani?
Kuchapa kupo na kwa maisha yetu ya kiafrika kuna umuhimu wake. Lakini walimu wanapaswa kutofautisha stress za maisha yao na kazi zao.mpwayungu village
Binafsi ninawashauri walimu wote nchini waachane na suala la kuchapa wala kufuatilia kwa kina watoto wa watu...
Huwa najiuliza mwalimu usipochapa anapungukiwa nini?, hapo ndipo ninapowashauri walimu waache kuchapa hakika wataishi vema.Sasa hili likitokea hapa ni wazi upo katika taaluma sio.
Ikiwa una deal na watoto wenye background tofauti unapaswa uwe na uwezo mkubwa wa kutochukulia vitu kiubinafsi. Hapo ndipo niliposema mwalimu anapaswa ajue kutofautisha hisia zake binafsi na taaluma yake.
All in all una point ya maana zaidi, kuepuka yote ni bora mambo ya kuchapana yaachwe kabisa tu.
Hatari sanaMaisha mengine bhana mikosi tupu yaani umejikalia zako pembeni na wewe unaunganishwa humohumo.
Mbali ya uhitaji wa kuchapa sababu ya uhalisia wa malezi yetu, wengi wa walimu wana maisha ya dhiki mno. Kama tujuavyo penye dhiki huwa hakuna amani ya nafsi wala maisha kupelekea kujijengea hisia ya kuwa wewe ni duni/dhaifu (inferiority complex).Huwa najiuliza mwalimu usipochapa anapungukiwa nini?, hapo ndipo ninapowashauri walimu waache kuchapa hakika wataishi vema...
Nazungumzia upigaji wa kwenye nyayo, hebu jaribu kufanya utafiti wako mwenyewe tafuta kijana mwenye nguvu akupige halafu ulete mrejesho hapa.Katika kupitia pitia nyuzi mbalimbali kuhusu sakata hili sijaona aliyetoa sababu za kitaalam za kwanini ni hatari kumchapa mtoto kwwnye nyayo ni hatari kuliko mkononi na matakoni. Na kwanini imfanye mwalimu afukuzwe kazi kwa jambo hilo. Si kama naunga mkono jambo lile hapana. Nahitaji sababu za kitaalam tu. Povu ruksa.
Chukua mfano huu...Kwa kucheka kwao wametenda kosa gani?
Kwa hiyo kwa sababu wewe ulipigwa basi ihalalishwe?Ilitosha mwalimu kushushwa tu cheo kumfukuza wanamwonea. Nia ya mwalimu ilikuwa kumrekebisha mwanafunzi na sio kumuumiza. Hata mm hizo fimbo nlichapwa sana tu. Mbona mabinti wanachapwa mikonononi ambako ni lain kuliko mguini bado hamjasema kitu.
Watu tumepigwa hadi luler za vichwa tena zile za kuchorea ubaoni. Mm sioni kosa la mwalimu hapo hata waliokua wanacheka hawana kosa mwenye kosa ni aliyerekodi video
Kufanya ‘action’ isivyo sahihi ni kosa. Pia kufanya ‘Inaction’ isivyo sahihi ni kosa. Hao walimu wamefanya ‘In-action’ kwa kuto mkamata mwalimu mkuu na kumreport polisi wakati anafanya ule ukatili.Kwa kucheka kwao wametenda kosa gani?