Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na nusu.
Miezi kadhaa iliyopita Sam Kerr alizua gumzo baada ya Kufunga ndoa ya Kanisani na Mchezaji mwenzake wa kike ambaye amekipiga Klabu ya wanawake ya Westham united.
Sam Kerr na mpenzi wake huyo wame bahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye wali mpata hapo mwaka Jana, na mtoto huyo anaitwa Jagger mewis Kerr.
#fblifestyle