Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wacha nikupikie makande ya nazi, na kaparachichiWakuu, Hua tunachanganya mambo kuhusu kanisa.
Makanisa ni yale kama RC, Lutheran, Anglican na Mengine kama hayo, na sio upuuzi kama ule wa Masanja, mwamposa, Kiboko wa wachawi, ngurumo ya upako na wengine wa namna hiyo.
Anyway, Huyu Sarr hajafunga ndoa ya kikanisa Bali ni kwenye private estate ambazo haina tofauti na hizo za kina mwamposa
N kama Waislamu wanavyolazimisha sinagogi kuwa msikiti.
Mizee ya hovyo!
Kande + parachichi ni bonge moja la combination, n sawa na wali maharage 🔥Wacha nikupikie makande ya nazi, na kaparachichi
Normally ni IVF. Ndiyo maana India walipiga marufuku kwa mwanamke wa kihindi kuwa surrogate kwa foreignersMtoto amepatikanaje?
Unamuonea mzee wa watu. Mzee heshima yake ni watoto wa 2,000! Nyie hangaika na mishangazi tuMizee ya hovyo!
Kuna usemi hata wahuni huzeeka sasa hii ndiyo maana yake sasa.
Sasa apo uislamu umeingiaje mkuu.... Au ndo ufinyu wa ufahamuWakuu, Hua tunachanganya mambo kuhusu kanisa.
Makanisa ni yale kama RC, Lutheran, Anglican na Mengine kama hayo.
Na sio upuuzi kama ule wa Masanja, mwamposa, Kiboko wa wachawi, ngurumo ya upako na wengine wa namna hiyo.
Anyway, Huyu Sarr hajafunga ndoa ya kikanisa Bali ni kwenye private estate ambazo haina tofauti na hizo za kina mwamposa
N kama Waislamu wanavyolazimisha sinagogi kuwa msikiti.
Nmeweka ili iwe reference ya watu wanavyolazimisha Makanisa ya RC kuwa sawa na hayo ya kitapeli kama ya akina mwamposa, wakati n vitu tofautiSasa apo uislamu umeingiaje mkuu.... Au ndo ufinyu wa ufahamu
Ningeshangaa sana kama ungemaliza maelezo yako bila kuuhusisha uislamu.Wakuu, Hua tunachanganya mambo kuhusu kanisa.
Makanisa ni yale kama RC, Lutheran, Anglican na Mengine kama hayo.
Na sio upuuzi kama ule wa Masanja, mwamposa, Kiboko wa wachawi, ngurumo ya upako na wengine wa namna hiyo.
Anyway, Huyu Sarr hajafunga ndoa ya kikanisa Bali ni kwenye private estate ambazo haina tofauti na hizo za kina mwamposa
N kama Waislamu wanavyolazimisha sinagogi kuwa msikiti.
Sina maana hiyo unayotaka kuisema 😂Ningeshangaa sana kama ungemaliza maelezo yako bila kuuhusisha uislamu.