MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo) ambalo kwa 99.999% linaharibiwa na TFF kwa Interests zao lakini pia na hata Nguvu ya Ushawishi ya Serikali kupitia hivi Vilabu vikubwa na vikongwe Viwili hapa nchini? Umeanza Kuchemsha mapema sana Waziri katika hiyo (hii) Docket na si ajabu ndiyo maana ukahamishwa kutoka katika Docket nyingine japo ni Mkwe wa mwenye Katiba yake kwa sasa Tanzania.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa yaani umeshindwa tu kujua kuwa hata nyie Viongozi wa Kitaifa (huko Serikalini) nanyi mnaongoza Kuzisaidia Timu zenu pendwa kama ilivyo kwa Waziri Mwenzako Mmoja ambaye Yeye hata hudiriki Kutoa Pesa za Kuhonga ili tu Klabu yake ya Malalamiko Mpaka Ikulu FC ishinde?
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa kwahiyo muda wote ulikuwa umekaa Kimya hutaki Kutoa Tamko mpaka ufanye Timing ya namna hii ya kuja Kuzungumza Siku Moja kabla Yanga SC hajacheza na Biashara United FC leo katika Kombe la ASFC Uwanja wa Mkapa Saa 1 Kamili Usiku?
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa kwahiyo Watu wa Serikali (hasa Wizara yako) mlikuwa mnangojea mpaka Malalamiko Mpaka Ikulu FC (Yanga) walalamike kuhusu Waamuzi (Referees) ndipo nanyi Kinafiki mjitokeze Kukemea na kutaka Uchunguzi ufanyike?
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nimekushangaa mno pale nilipokusikia ukiwataka Watu wa TAKUKURU nao wawepo katika hizo SEMINA za TFF (hasa za Waamuzi hawa) kwani Binafsi ninajua kuwa kuna Watu wa TAKUKURU (PCCB) na hata UWT (TISS) ambao Idara zao hizo zimewatuma Kazi Maalum huko TFF na hata katika hivi Vilabu vikubwa na vikongwe nchini Tanzania vya Simba na Yanga ina maana huwa hawawaletei Ripoti zao za Uchunguzi / Upelelezi ya yale yanayoendelea huko?
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa tunakujua kuwa Wewe ni mwana Yanga SC lia lia na Kujitokeza Kwako jana Kukemea Waamuzi ni sehemu ya Mpango Mkakati Maalum wa Yanga SC ikisaidiwa na baadhi ya Viongozi Waandamizi Serikalini na Mstaafu Mmoja wa Kikatiba ambaye ni Mnafiki Mkubwa wa Kuwatishia Waamuzi (Referees ) ili kila Wakichezesha Mechi za Malalamiko Mpaka Ikulu FC (Yanga) basi wawe Wanaibeba (Wanaipendelea) ishinde kuanzia Mechi yao Ngumu ya Leo katika ASFC na Biashara United FC na ya Wiki ijayo katika NBC Premier League ikicheza na Mtibwa Sugar FC pale Manungu Mkoani Morogoro.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa kwahiyo Hatari uliyoiona Wewe Mivhezoni ni hili tu la Waamuzi ( Referees ) hasa baada ya Kulalamikiwa na Timu yako pendwa ya Malalamiko Mpaka Ikulu FC (Yanga) ila lile ( hili ) la Msemaji wa Yanga SC (Malalamiko Mpaka Ikulu FC) Haji Manara kuichafua Simba SC kwa Watu wa Klabu ya Asec Mimosa tena mpaka kuwatahadharisha kuwa wasipokuwa Makini Watakufa kwani Simba SC hata Kuua haishindwi Kwako Wewe kama Waziri ( huko Serikalini ) hamjaona kuwa ni Hatari zaidi kwa Afya ya Soka letu, Maendeleo na Ustawi wake pamoja na hata Usalama wa Taifa?
Tukiwadharau hamna Akili msikasirike!!