Kwahiyo Waziri Mchengerewa ulikuwa unasubiria hadi Yanga SC yako icheze na Biashara United FC (ASFC) ndiyo uwatishie Waamuzi?

Kwahiyo Waziri Mchengerewa ulikuwa unasubiria hadi Yanga SC yako icheze na Biashara United FC (ASFC) ndiyo uwatishie Waamuzi?

Kwani mkuu PM mbona ni simba mtupu? Hata kanjibai si anafanya ufisadi kwa simba kwa nguvu ya PM? Naye PM si ana maslahi yake mazito pale Simba.

Ni bora huyu amezungumza ukweli lakini sio mtu ambae ana maslahi mazito moja kwa moja na Yanga kama alivyo boss wake.
Unajua kuwa Umeandika Upumbavu???
 
Kwenye swala la VAR ni mbali sana, kungekuwa tu na ka TV kamoja kalichounganishwa na Azam TV ili muamuzi awe anaangalia marudio akiwa uwanjani Kama tunavyoangalia sisi tukiwa bandani .
 
Back
Top Bottom