M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Feb 15, 2022 Thread starter #21 Aleyn said: Kwani mkuu PM mbona ni simba mtupu? Hata kanjibai si anafanya ufisadi kwa simba kwa nguvu ya PM? Naye PM si ana maslahi yake mazito pale Simba. Ni bora huyu amezungumza ukweli lakini sio mtu ambae ana maslahi mazito moja kwa moja na Yanga kama alivyo boss wake. Click to expand... Unajua kuwa Umeandika Upumbavu???
Aleyn said: Kwani mkuu PM mbona ni simba mtupu? Hata kanjibai si anafanya ufisadi kwa simba kwa nguvu ya PM? Naye PM si ana maslahi yake mazito pale Simba. Ni bora huyu amezungumza ukweli lakini sio mtu ambae ana maslahi mazito moja kwa moja na Yanga kama alivyo boss wake. Click to expand... Unajua kuwa Umeandika Upumbavu???
Uwesutanzania JF-Expert Member Joined Feb 9, 2019 Posts 1,380 Reaction score 1,686 Feb 15, 2022 #22 Kwenye swala la VAR ni mbali sana, kungekuwa tu na ka TV kamoja kalichounganishwa na Azam TV ili muamuzi awe anaangalia marudio akiwa uwanjani Kama tunavyoangalia sisi tukiwa bandani .
Kwenye swala la VAR ni mbali sana, kungekuwa tu na ka TV kamoja kalichounganishwa na Azam TV ili muamuzi awe anaangalia marudio akiwa uwanjani Kama tunavyoangalia sisi tukiwa bandani .
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Feb 15, 2022 #23 Waziri Yuko sahihi kabisa, narudia tena Yuko sahihi