Kwahiyo Yanga SC yetu tulimsajili Aziz K kwa Tsh. milioni 550 aje acheze Shirikisho kwa walioshindwa?

Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
Ila Gentamycine wewe ni kiboko! Ukiamua kudai wewe ni Simba hadi wana Simba wanafurahi na kudhani ni simba mwenzao!! Ila Leo umefunguka ukweli kuwa wewe ni Yanga!! Ni wachache tunaokufahamu kuwa wewe ni Yanga na pia una ID lukuki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…