Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
[emoji196]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Gentamycine wewe ni kiboko! Ukiamua kudai wewe ni Simba hadi wana Simba wanafurahi na kudhani ni simba mwenzao!! Ila Leo umefunguka ukweli kuwa wewe ni Yanga!! Ni wachache tunaokufahamu kuwa wewe ni Yanga na pia una ID lukuki!Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
Pole! Unawaaibisha waliokulea!! Ulijifunzia matusi wapi?Wewe kenge kinyeo chako hakiwezi kukunika bila kuitaja yanga tahira wahedi weee[emoji35][emoji35]
Wizi mtupu! Hakuna timu bongo ya kununua mchezaji kwa 550M!Ngoja nikuelezee vizuri hapa kuna biashara kichaa inatembea
Aziz kanunuliwa 550M
Hawa jamaa hawaendi popote shirikisho wanatooewa playoff
Kituo kifuatacho NBC kugombania milioni 500 za azam
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app