Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaibiwa tu pension. Mafao yakiisha, na mapenzi yanakatika...
Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na babu mwenyewe ashafika ....π₯°π₯°
Ananipeleka mwendo wa raga muffin....π.
Sema tunaibiana, pensheni zetu zilishakutana kabla hata vinaniliu vyetu havijakutana...π π π ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Yeah.Ni vile tu hutaki amani[emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Uzuri nilishamwona Kasie... Ni bonge la mwanamke. Mrembo wa haja....
Hata kama nimemwona kwenye ndoto potelea mbali... Naamini atakuwa hivyo
Nikifanikiwa ntakukaribisha Butiama umwone Kasie akicheza dansi na babu
Usisahau kuniombea nifanikiwe
Hahahaaaa
Niko nawaangalia. Nikawaza huyo babu ni Bishanga au
Mambo poa kabisa...tumepotezana sana ila nipo