Kwako Babu Mpendwa πŸ’•

Kwako Babu Mpendwa πŸ’•

Ahsante sana mpwa. Nikifanikiwa hakika utakuwa bestman kwenye harusi yangu na bibi wa butihama

Ntakushonea suti ya kitenge sharti tuu

Ukifika Butiama kwa bibi, ni mwendo wa wizout ....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œ
 
Unaibiwa tu pension. Mafao yakiisha, na mapenzi yanakatika...

Sema tunaibiana, pensheni zetu zilishakutana kabla hata vinaniliu vyetu havijakutana...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Loooh πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† jamaniiii

Hatakuwa na la kufanya zaidi ya kumuachia Mungu...πŸ˜…
 
Wewe bibi tuseme ulikuwa singo maza miaka yote ama mjane? Kwa nini babu aingie maishani mwako baada ya kustaafu?
Sema tunaibiana, pensheni zetu zilishakutana kabla hata vinaniliu vyetu havijakutana...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Uzuri nilishamwona Kasie... Ni bonge la mwanamke. Mrembo wa haja....

Hata kama nimemwona kwenye ndoto potelea mbali... Naamini atakuwa hivyo

Nikifanikiwa ntakukaribisha Butiama umwone Kasie akicheza dansi na babu

Usisahau kuniombea nifanikiwe

Wuuuhuuuuuuuu....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wigowan....πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹
 
Hahahaha Kasinde Kasie anaburudika na Wigowan ya Butihama....

Aahahahahaha yaani nimechekaaaa

Nikakumbuka ile ijumaaa....

Hakika ile ijumaa imebarikiwa kuliko ijumaa zoteee πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‹.

Wigowan...!
 
His love is drug.... En u never want to recover from it[emoji4]


Babu’s love ❀️

Am totally drunk in Love ....

And am dehydrated, my quince is his love....😍.
 
Hahahaaaa

Niko nawaangalia. Nikawaza huyo babu ni Bishanga au

Mambo poa kabisa...tumepotezana sana ila nipo


Aahahahaha usipotee sana, the old wing is missed humu JF....

Sasa hivi kila unakopita unakutana na kina Junior na vile wengine tumechomwa adrenaline ya JF MMU basi tunajikaza hivohivo...😜😜.

Umemtaja Bishanga nae amepoteaaa...!!

Babu huyu ni wa Butiama aka ODM πŸ₯°.
 
Kumbe sio mimi?

Mi sielewi somo. Naenda zangu Butiama... Liwalo na liwe. Nitajua hukohuko


Love you mingi mingi Babuu β€οΈβ€οΈπŸ’•.
 
Back
Top Bottom