Kwako Chino Wanamani; nani anakupotosha na hayo magari?

Kwako Chino Wanamani; nani anakupotosha na hayo magari?

darautobroker

Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
35
Reaction score
61
USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA

Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri Yenye Status Anayotakiwa Atumie.

Binafsi Nimpongeze Kijana Kwa Hatua Nzuri Aliyopiga Ikiwa Ni Katika Kutimiza Ndoto Zake Lakini Kwa Uzoefu Wangu Wa Kwenye Magari Aliyemshauri Akae Kwenye JEEP Kamuingiza Chaka Bovu.

Awali Walimnunulisha BMW 7 SERIES Old Model Yenye Rangi Ya Kijivu, Ikamtesa Sana Ile Gari Kwani Hata Ndugu Yetu JUMA JUX Anajua Shughuli Ya Kuihudumia Gari Ile. Ivi Mbona Hachukui Mfano Wa Kaka Yake Mlezi MARIO?

Amekaa Kwenye BMW 3 SERIES Na MARK X NEW MODEL Katulia Hataki Shida Huku Mambo Mengine Ya Ku-Push Kazi Zake Za Msingi Zikiwa Zinaendelea?

Mwisho Kabisa Niwashauri Wale Ndugu Zangu Wenye Hamu Ya Kununua Gari Za Ndoto Zao Kwamba KUNUNUA GARI SIO KAZI, KAZI IPO KWENYE KULIHUDUMIA

Imeandikwa Na JECHA MALUNDO💰 Ugali Moto🔥Mboga Moto🔥 Balaa Mlangoni

RAIS WA WAUZA MAGARI MKOA WA SINZA
 
Mimi tokea aanze showoff za kijinga nimemdharau sana

Mtu ujafanikiwa unaanza haya mambo
Madhara yake ni kunyimwa michongo haoni Marioo alivyomkataa....
Mkuu mtu aliepitia maisha magumu anakuwa na kimuhemuhe fulani hivi au ushamba fulani kuonesha watu alivyohusle kuna mwanangu ni hawa polisi waliomaliza juzi aisee anavimba kumbe kwa binadamu ni nature hasa hawa wa maisha magumu.
 
Nimecheka alivyokusanya ukoo mzima kuombea magari halafu akapost...
Watanzania umaskini pia unachangiwa kwa kutojua kutumia pesa vizuri...

Magari mengiiii bila biashara wala nyumba🚮
Tukumbushane kua gari ni liability.
 
Acheni uchawi jamani. Kwani kaiba cha mtu? Na wewe Tafuta zako ujenge nyumba na kuanzisha biashara. Kwenye haya maisha kila mtu ana bahasha yake.
 
Back
Top Bottom