darautobroker
Member
- Dec 18, 2020
- 35
- 61
USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA
Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri Yenye Status Anayotakiwa Atumie.
Binafsi Nimpongeze Kijana Kwa Hatua Nzuri Aliyopiga Ikiwa Ni Katika Kutimiza Ndoto Zake Lakini Kwa Uzoefu Wangu Wa Kwenye Magari Aliyemshauri Akae Kwenye JEEP Kamuingiza Chaka Bovu.
Awali Walimnunulisha BMW 7 SERIES Old Model Yenye Rangi Ya Kijivu, Ikamtesa Sana Ile Gari Kwani Hata Ndugu Yetu JUMA JUX Anajua Shughuli Ya Kuihudumia Gari Ile. Ivi Mbona Hachukui Mfano Wa Kaka Yake Mlezi MARIO?
Amekaa Kwenye BMW 3 SERIES Na MARK X NEW MODEL Katulia Hataki Shida Huku Mambo Mengine Ya Ku-Push Kazi Zake Za Msingi Zikiwa Zinaendelea?
Mwisho Kabisa Niwashauri Wale Ndugu Zangu Wenye Hamu Ya Kununua Gari Za Ndoto Zao Kwamba KUNUNUA GARI SIO KAZI, KAZI IPO KWENYE KULIHUDUMIA
Imeandikwa Na JECHA MALUNDO💰 Ugali Moto🔥Mboga Moto🔥 Balaa Mlangoni
RAIS WA WAUZA MAGARI MKOA WA SINZA