Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO.
LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime na baada ya muda inafutwa kuwa muda umeisha. Huo ni wizi. Nimenunua kitu kwa hela yangu, unaniwekea masharti YASIYO KUWA YA HAKI kuwa ikifika wiki hutatumia nakunyanganya! Is that fair? Inaingia akili kweli kwa hicho mnachowaruhusu mitandao ya simu ifanye? Mwachie mtu atumie anavyotaka ila mnaweza ku control bytes anazotumia, lakini si kumwekea limit ya wiki/mwezi and the like