Suala sio kukurupuka,Yanga wanajua wapo kwenye Champions League na wana plan zao hao Al Hillaly nao wana plan zao huwezi kurupuka uanze kucheza mechi kisa mwenzako kafanya kile uta fail
Tulia kwanza mkuu,Utopolo kule CAF ni wasindikizaji tyuuh. Hawana chao kule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanasubiri kufurushwaa tyuuh.
Kuna break ya National team,Uko sahihi.
Je ratiba inaruhusu? Nahisi al hilal kwao hata ligi haijaanza, hivyo kusaka hizo game ni sahihi kwao, ikiwa ratiba inaruhusu si dhambi yanga kutafuta game ya kirafiki, ikiwa ratiba hairuhusu haina haja ya kuforce, wataharibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huo mchepuko, huko CAF ndo anawabamiza atakavyo, hao ambao wanakupigaa wee nje ndani.Tulia kwanza mkuu,
Nawapa ushauri viongozi wangu ili washtuke.
Simba sio size yetu hapa kwetu maana ni sawa na mchepuko wetu, tunajipigia mda tuutakao kwa staili yeyote..
Tunataka maandalizi dhidi ya hao wengine
Sisi malengo yetu ni kuifunga Simba tu na tumeshafanikiwa hayo mengine ya CAF siyo mikato yetu kabisa... Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110].....Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]
Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223]
JE, SISI YANGA, TUNA MKAKATI GANI HADI SASA? Tutafte hata timu kama AS Vita tujipime au hata Sagrada Esperanca
Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063