logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110]. Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]
Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223].
Je, sisi YANGA, tuna mkakati gani hadi sasa? Tutafte hata timu kama AS Vita au Sagrada Esperanca tujipime.
Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia maji