Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al Hilal hawezi kukosekama kwenye makundi, hilo ni given.Suala sio kukurupuka,
Kumbuka maandalizi mazuri yanaaambata na mechi zenye kukupa test nzuri kimataifa, kujifungia tu kule AVIC hakutoshi, tuone mechi za ushindani maana Huyo Zalan tutamtoa, inshu ni hapo round ya Al Hilal na St. George
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeee sana lolWanachangishana hela ya mganga kwenye mechi ya simba inayokuja kwenye ligi kuu yaani wao wakimfunga simba ndo habari yao imeisha hawana tena mawazo mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi mbavu zinauma. Shougaaa angu hiyo mimba ya Karia, nunua udongo utafune kupunguza kichefu chefu,Hata wewe mwenyewe humu Jamii forums upo upo 'tyuuh'
Yaani wewe, Haji Manara na Wallace Karia mpo mpo 'tyuuh'!! Yaani nyinyi ni 'ma tyuuh', tyuuh' tyuuh kwenye soka la Bongo
Ni wazo zuri sana... Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110].....Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]
Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223]
JE, SISI YANGA, TUNA MKAKATI GANI HADI SASA? Tutafte hata timu kama AS Vita tujipime au hata Sagrada Esperanca
Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063
Kwani zile za Misri hazikuwatosha? maana yake mlivyorudi huko mlikalia kwa Yanga.Simba SC atacheza na hao Asante kotoko pamoja Al Hilal kujiimarisha.Nyie uto kachezeni na Ruvu shooting na Ihefu mjipigie 9 buyu.
Wachezaji tisa wapo kwenye national teams. Sasa unaenda kujaribu nini?Mimi ni shabiki lialia wa yanga ila kwa hili la kukaa kimya wakati wenzetu wa simba wanaenda kujopima na timu kubwa ni ukinyes wa hali ya juu
Sisi Utopolo tukimfunga simba bhaaaas inatosha... Kumfunga simba ni mafanikiomakubwa kuliko hata mechi hizo za mchangani za CAFUtopolo kule CAF ni wasindikizaji tyuuh. Hawana chao kule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanasubiri kufurushwaa tyuuh.
Kwa Tanzania , CAF champions League bado.Inabidi Yanga ndo iwemo ndo maana tunawashauri
Angalau kuna wawili kuliko wote kuwa mbumbumbuWenye akili ni 2 tuuuuu. Jk na Sunday
Una utani na Simba,Kwa Tanzania , CAF champions League bado.
Ila, Confederation tunaweza kuchukua. Tukicheza playoffs za Confederation Cup, tunaweza kuingia kwenye makundi na kufika hatu za Mbele.
Champions Cup kuna timu zimewekeza sana mwaka huu, hela ndefu na wachezaji wazuri sana.
Yanga anaweza kufika Mbali Confederation Cup, hata Simba na Azam.
Siyo Champions League, Corona imeshapita.
Nimesema tu, Covid-19 imepita.Una utani na Simba,
Kwamba ulkuwa upepo wa Covid-19
Utopolo hawana akili hizo. We sema waiige simba. Acha kuzunguka... Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110].....Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]
Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223]
JE, SISI YANGA, TUNA MKAKATI GANI HADI SASA? Tutafte hata timu kama AS Vita tujipime au hata Sagrada Esperanca
Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063
Tuliza wenge mpira unachezwa uwanjani sio mdomoniAl Hilal hawezi kukosekama kwenye makundi, hilo ni given.
Tuliza wenge mpira unachezwa uwanjani sio mdomoniAl Hilal hawezi kukosekama kwenye makundi, hilo ni given.
Hua mnajifanyaga special sana Azam FC alienda kucheza bonanza kama lenu Ndola Zambia mwaka 2016Utopolo hawana akili hizo. We sema waiige simba. Acha kuzunguka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi Utopolo tukimfunga simba bhaaaas inatosha... Kumfunga simba ni mafanikiomakubwa kuliko hata mechi hizo za mchangani za CAF