Kwako Engineer Hersi Said na uongozi wetu hapo Jangwani

Kwako Engineer Hersi Said na uongozi wetu hapo Jangwani

Suala sio kukurupuka,
Kumbuka maandalizi mazuri yanaaambata na mechi zenye kukupa test nzuri kimataifa, kujifungia tu kule AVIC hakutoshi, tuone mechi za ushindani maana Huyo Zalan tutamtoa, inshu ni hapo round ya Al Hilal na St. George
Al Hilal hawezi kukosekama kwenye makundi, hilo ni given.
 
Wanachangishana hela ya mganga kwenye mechi ya simba inayokuja kwenye ligi kuu yaani wao wakimfunga simba ndo habari yao imeisha hawana tena mawazo mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeee sana lol
 
Hata wewe mwenyewe humu Jamii forums upo upo 'tyuuh'

Yaani wewe, Haji Manara na Wallace Karia mpo mpo 'tyuuh'!! Yaani nyinyi ni 'ma tyuuh', tyuuh' tyuuh kwenye soka la Bongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi mbavu zinauma. Shougaaa angu hiyo mimba ya Karia, nunua udongo utafune kupunguza kichefu chefu,

Maana sio kwa mate hayo mdomoni uliyojaza, hebu tema kwani.

Poleeeeeeeh kwa kuteseka, uwiiiiiiih.

Bado nipo nipo sanaaaaaaaaa!!!!!!!
 
... Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110].....Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]

Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223]

JE, SISI YANGA, TUNA MKAKATI GANI HADI SASA? Tutafte hata timu kama AS Vita tujipime au hata Sagrada Esperanca

Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063
Ni wazo zuri sana
 
Simba SC atacheza na hao Asante kotoko pamoja Al Hilal kujiimarisha.Nyie uto kachezeni na Ruvu shooting na Ihefu mjipigie 9 buyu.
Kwani zile za Misri hazikuwatosha? maana yake mlivyorudi huko mlikalia kwa Yanga.
 
Mimi ni shabiki lialia wa yanga ila kwa hili la kukaa kimya wakati wenzetu wa simba wanaenda kujopima na timu kubwa ni ukinyes wa hali ya juu
Wachezaji tisa wapo kwenye national teams. Sasa unaenda kujaribu nini?
Hilo ni bonanza tu.
 
Inabidi Yanga ndo iwemo ndo maana tunawashauri
Kwa Tanzania , CAF champions League bado.
Ila, Confederation tunaweza kuchukua. Tukicheza playoffs za Confederation Cup, tunaweza kuingia kwenye makundi na kufika hatu za Mbele.
Champions Cup kuna timu zimewekeza sana mwaka huu, hela ndefu na wachezaji wazuri sana.
Yanga anaweza kufika Mbali Confederation Cup, hata Simba na Azam.
Siyo Champions League, Corona imeshapita.
 
Una utani na Simba,
Kwamba ulkuwa upepo wa Covid-19
 
... Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110].....Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]

Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223]

JE, SISI YANGA, TUNA MKAKATI GANI HADI SASA? Tutafte hata timu kama AS Vita tujipime au hata Sagrada Esperanca

Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063
Utopolo hawana akili hizo. We sema waiige simba. Acha kuzunguka
 
Taarifa nilizonazo Yanga itacheza
Mchezo wa kimataifa ya kirafiki 2.

Tarifa zaidi zitatoka hivi punde
 
Sisi Utopolo tukimfunga simba bhaaaas inatosha... Kumfunga simba ni mafanikiomakubwa kuliko hata mechi hizo za mchangani za CAF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom