Kwako Engineer Hersi Said na uongozi wetu hapo Jangwani

Uwoga wa viongozi wa Yanga ni ku expose weakness zao wakicheza na timu kubwa! Mnaenda kucheza na timu ambayo kocha wake ndio kawauzia wachezaji na sio wachezaji tu bali vijana wake anaowajua vizuri sana.

Yanga pamoja ni mpinzani wangu lakini kwa maslahi ya Taifa tafuteni friendly game ikiwezekana nje ya Tanzania! Msitafute timu dhaifu, nendeni hata Kongo mpate friendly games na Mazembe, Vita au Motema!

Msipopata game ngumu mjue panapovuja HAMTOBOI! Mtawaonea wale wa Sudan kusini tu!
 
Mbona wameshacheza mechi ngumu dhidi ya Simba na wameshinda tena kwa kiwango kikubwa sioni kama Yanga inahitaji mechi za kirafiki tena wao ni bora na kumfunga Simba ni kipimo Toshaa
 
Utopolo kule CAF ni wasindikizaji tyuuh. Hawana chao kule.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanasubiri kufurushwaa tyuuh.
Wanachangishana hela ya mganga kwenye mechi ya simba inayokuja kwenye ligi kuu yaani wao wakimfunga simba ndo habari yao imeisha hawana tena mawazo mengine.
 
Mimi ni shabiki lialia wa yanga ila kwa hili la kukaa kimya wakati wenzetu wa simba wanaenda kujopima na timu kubwa ni ukinyes wa hali ya juu
Yaani shabiki tu, halafu lia lia na wala siyo mchangiaji!! Unahimiza utadhani inafanyika bure tyuu. Mapesa yanahitajika katika maandalizi, siyo kuhimiza tuu.
 
Sisi hatuna makuu. Mazoezi yetu dhidi ya hao Al Hilal /St. George ni hao hao Zalan
 
JE, SISI YANGA, TUNA MKAKATI GANI HADI SASA? Tutafte hata timu kama AS Vita tujipime au hata Sagrada Esperanca
dogo tulia, hatutaki kuharibu rekodi yetu ya kutofungwa. Kwanza mechi za kirafiki ni kujichosha tu
 
Yaani shabiki tu, halafu lia lia na wala siyo mchangiaji!! Unahimiza utadhani inafanyika bure tyuu. Mapesa yanahitajika katika maandalizi, siyo kuhimiza tuu.
Si tumesaini mkataba mnono na SportPesa, na pia tuna hela za zawadi za Azam Media? kazi ya hela hizo ni nini sasa
 
Mimi ni shabiki lialia wa yanga ila kwa hili la kukaa kimya wakati wenzetu wa simba wanaenda kujopima na timu kubwa ni ukinyes wa hali ya juu
Nina imani watapita pita humu kusoma
 
Ni kweli kabisa, twende beyond kumfunga BABRA FC
 
Yanga wanajua wapo kwenye Champions League na wana plan zao hao Al Hillaly nao wana plan zao huwezi kurupuka uanze kucheza mechi kisa mwenzako kafanya kile uta fail
Utopolo hawana plan yoyote zaidi ya kusubili kukandwa
 
Acha kutupangia maisha . Timu yetu ni kubwa saaaaaaana na Fala yeyote akatayekuja mbele yetu anaputuliwa tu.. Record kama hzi zinapatikana kwa Wananchi tu
 

Attachments

  • Screenshot_20220822-225353.png
    156.7 KB · Views: 3
Sisi malengo yetu ni kuifunga Simba tu na tumeshafanikiwa hayo mengine ya CAF siyo mikato yetu kabisa
Mbona imewauma sana kufungwa na yanga. Siku nyingine msilete timu uwanjani semeni tu kwamba mpeni yanga ushindi, basi.
 
Yanga wanajua wapo kwenye Champions League na wana plan zao hao Al Hillaly nao wana plan zao huwezi kurupuka uanze kucheza mechi kisa mwenzako kafanya kile uta fail
Plan gani hizo ambazo mmeamua kuzifanya siri?

Mwaka jana mlisema hivyo hivyo mna plan zenu, halafu mwisho wa siku tukaja kusikia mmempiga marungu kocha wa Rivers
 
Huu uswahili last year umetugharimu, visingizio ikawa permit za wachezaji wetu kutoka DRC zilikuwa hazijakamilka, mashabiki wakatulia, lakini ulikuwa pia uzembe kiasi flani.
Tunakosoa kwa kujenga, hakuna anaetamani timu ifeli kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…