MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Uwoga wa viongozi wa Yanga ni ku expose weakness zao wakicheza na timu kubwa! Mnaenda kucheza na timu ambayo kocha wake ndio kawauzia wachezaji na sio wachezaji tu bali vijana wake anaowajua vizuri sana.
Yanga pamoja ni mpinzani wangu lakini kwa maslahi ya Taifa tafuteni friendly game ikiwezekana nje ya Tanzania! Msitafute timu dhaifu, nendeni hata Kongo mpate friendly games na Mazembe, Vita au Motema!
Msipopata game ngumu mjue panapovuja HAMTOBOI! Mtawaonea wale wa Sudan kusini tu!