Kwako Engineer Hersi Said na uongozi wetu hapo Jangwani

Simba SC atacheza na hao Asante kotoko pamoja Al Hilal kujiimarisha.Nyie uto kachezeni na Ruvu shooting na Ihefu mjipigie 9 buyu.
Plan za yanga hazimuhusu Kima yoyote, sio kila timu ikifanya hivi ,yanga aige, no
Yanga Ina plan kubwa na mwaka huu ndio mtajua Nini hasa viongozi na timu wamepanga
Plan ya kwanza ilikuwa kubeba vikombe vyote vya ndani na kupata nafasi ya kimataifa ,tumefanikiwa kwa 100%
Pili tupo na malengo ya kimataifa na ligi tutafanikiwa pia,
Hao wanakwenda kujiuza nje huko ,wamefeli kila kitu wamebaki Domo, baada ya mwaka huu hawatakuwa na mdomo Tena zaidi ya kulaumu kocha na wachezaji
 
Hela zote mlimaliza ligi kuu msimu uliopita mkapata kombe kimichongomichongo mnakuja kulia lia hapa ...CAF ndio kipimo pekee cha kujua kuwa SIMBA SC au YANGA Sc ipi ni timu bora. Enjoy!
 
Sisi Yanga malengo tuliyojiwekea ya kumfunga Simba tumeshayafikia na kupita hayo mengine ni mbwembwe tu hatuna muda mchafu huo .
 
Mkuu nahifadhi hii kwaajili ya kumbukumbu. Endapo nasisi Yanga tutacheza hatua ya makundi klabu bingwa. Ila niseme tu mchezo wa mpira wa miguu una njia zake za kupita ili uwe na timu bora. Sioni timu yetu ikipita kwenye hizo njia ili nasi tufurukute kimataifa. Timu ya Simba wanachokifanya ni kuishi katika njia za mchezo wa mpira wa miguu hata ikitokea wameshindwa kusonga mbele mashabiki wao watasema ni bahati mbaya. Ila timu ya Yanga inakosa mipango, mikakati na maono juu ya michuano ya kimataifa. Ngoja tuone
 
Eee kama vipers na rivers alivyowapelekea moto
 
Nmejaribu kutumia kiwango cha chini kabisa cha uelewa wangu bado nme shindwa ku match na wewe ! Get off my way
Kosa lako ni kutumia kiwango cha chini kabisa cha uelewa wako, wakati hata kwa kiwango chako cha juu kabisa bado usingeelewa.
 
Hela zote mlimaliza ligi kuu msimu uliopita mkapata kombe kimichongomichongo mnakuja kulia lia hapa ...CAF ndio kipimo pekee cha kujua kuwa SIMBA SC au YANGA Sc ipi ni timu bora. Enjoy!
Tulia mkuu mbona unatusingizia
 
Very true
 
Leo jioni ndo tutapata jibu la uhakika

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu, ngoja leo tupate majibu ya uhalisia

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi.

Je ratiba inaruhusu? Nahisi al hilal kwao hata ligi haijaanza, hivyo kusaka hizo game ni sahihi kwao, ikiwa ratiba inaruhusu si dhambi yanga kutafuta game ya kirafiki, ikiwa ratiba hairuhusu haina haja ya kuforce, wataharibu.
Sawa sawa mkuu

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…