Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Na uwanjani ndo mlikutana na Transit Camp?Tuliza wenge mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uwanjani ndo mlikutana na Transit Camp?Tuliza wenge mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni
Nyie endeleeni kucheza mechi zenu za mchangani. Mwaka kesho sisi tunacheza super league, nyie endeleeni kupiga mboyoyoHua mnajifanyaga special sana Azam FC alienda kucheza bonanza kama lenu Ndola Zambia mwaka 2016
Makirikiri walivyo kuondoa kwa aibu ilikuaje?Na uwanjani ndo mlikutana na Transit Camp?
Plan za yanga hazimuhusu Kima yoyote, sio kila timu ikifanya hivi ,yanga aige, noSimba SC atacheza na hao Asante kotoko pamoja Al Hilal kujiimarisha.Nyie uto kachezeni na Ruvu shooting na Ihefu mjipigie 9 buyu.
Hela zote mlimaliza ligi kuu msimu uliopita mkapata kombe kimichongomichongo mnakuja kulia lia hapa ...CAF ndio kipimo pekee cha kujua kuwa SIMBA SC au YANGA Sc ipi ni timu bora. Enjoy!Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110]. Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]
Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223].
Je, sisi YANGA, tuna mkakati gani hadi sasa? Tutafte hata timu kama AS Vita au Sagrada Esperanca tujipime.
Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063
Wakati naondolewa CAFCL kwenda CAFCC, team yako ilikuwa wapi muda huo?Makirikiri walivyo kuondoa kwa aibu ilikuaje?
Nmejaribu kutumia kiwango cha chini kabisa cha uelewa wangu bado nme shindwa ku match na wewe ! Get off my wayWakati naondolewa CAFCL kwenda CAFCC, team yako ilikuwa wapi muda huo?
NB: Rivers
Sisi Yanga malengo tuliyojiwekea ya kumfunga Simba tumeshayafikia na kupita hayo mengine ni mbwembwe tu hatuna muda mchafu huo .Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110]. Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST. George ya Ethiopia [emoji1098]
Msindi baina ya ST. George dhidi ya Al Hilal atakutana na mshindi baina ya Young Africans [emoji1241] dhidi ya Zalan FC [emoji1223].
Je, sisi YANGA, tuna mkakati gani hadi sasa? Tutafte hata timu kama AS Vita au Sagrada Esperanca tujipime.
Ukiona mwenzio anyoa, wewe tia majiView attachment 2332063
Mkuu nahifadhi hii kwaajili ya kumbukumbu. Endapo nasisi Yanga tutacheza hatua ya makundi klabu bingwa. Ila niseme tu mchezo wa mpira wa miguu una njia zake za kupita ili uwe na timu bora. Sioni timu yetu ikipita kwenye hizo njia ili nasi tufurukute kimataifa. Timu ya Simba wanachokifanya ni kuishi katika njia za mchezo wa mpira wa miguu hata ikitokea wameshindwa kusonga mbele mashabiki wao watasema ni bahati mbaya. Ila timu ya Yanga inakosa mipango, mikakati na maono juu ya michuano ya kimataifa. Ngoja tuonePlan za yanga hazimuhusu Kima yoyote, sio kila timu ikifanya hivi ,yanga aige, no
Yanga Ina plan kubwa na mwaka huu ndio mtajua Nini hasa viongozi na timu wamepanga
Plan ya kwanza ilikuwa kubeba vikombe vyote vya ndani na kupata nafasi ya kimataifa ,tumefanikiwa kwa 100%
Pili tupo na malengo ya kimataifa na ligi tutafanikiwa pia,
Hao wanakwenda kujiuza nje huko ,wamefeli kila kitu wamebaki Domo, baada ya mwaka huu hawatakuwa na mdomo Tena zaidi ya kulaumu kocha na wachezaji
Vipers hakuiaribu audogo tulia, hatutaki kuharibu rekodi yetu ya kutofungwa. Kwanza mechi za kirafiki ni kujichosha tu
Ndo mana tukakandwa nje ndani na livers unitedNimesema tu, Covid-19 imepita.
Eee kama vipers na rivers alivyowapelekea motoPlan za yanga hazimuhusu Kima yoyote, sio kila timu ikifanya hivi ,yanga aige, no
Yanga Ina plan kubwa na mwaka huu ndio mtajua Nini hasa viongozi na timu wamepanga
Plan ya kwanza ilikuwa kubeba vikombe vyote vya ndani na kupata nafasi ya kimataifa ,tumefanikiwa kwa 100%
Pili tupo na malengo ya kimataifa na ligi tutafanikiwa pia,
Hao wanakwenda kujiuza nje huko ,wamefeli kila kitu wamebaki Domo, baada ya mwaka huu hawatakuwa na mdomo Tena zaidi ya kulaumu kocha na wachezaji
Kosa lako ni kutumia kiwango cha chini kabisa cha uelewa wako, wakati hata kwa kiwango chako cha juu kabisa bado usingeelewa.Nmejaribu kutumia kiwango cha chini kabisa cha uelewa wangu bado nme shindwa ku match na wewe ! Get off my way
Very trueMkuu nahifadhi hii kwaajili ya kumbukumbu. Endapo nasisi Yanga tutacheza hatua ya makundi klabu bingwa. Ila niseme tu mchezo wa mpira wa miguu una njia zake za kupita ili uwe na timu bora. Sioni timu yetu ikipita kwenye hizo njia ili nasi tufurukute kimataifa. Timu ya Simba wanachokifanya ni kuishi katika njia za mchezo wa mpira wa miguu hata ikitokea wameshindwa kusonga mbele mashabiki wao watasema ni bahati mbaya. Ila timu ya Yanga inakosa mipango, mikakati na maono juu ya michuano ya kimataifa. Ngoja tuone
Leo jioni ndo tutapata jibu la uhakikaMkuu nahifadhi hii kwaajili ya kumbukumbu. Endapo nasisi Yanga tutacheza hatua ya makundi klabu bingwa. Ila niseme tu mchezo wa mpira wa miguu una njia zake za kupita ili uwe na timu bora. Sioni timu yetu ikipita kwenye hizo njia ili nasi tufurukute kimataifa. Timu ya Simba wanachokifanya ni kuishi katika njia za mchezo wa mpira wa miguu hata ikitokea wameshindwa kusonga mbele mashabiki wao watasema ni bahati mbaya. Ila timu ya Yanga inakosa mipango, mikakati na maono juu ya michuano ya kimataifa. Ngoja tuone
Sawa mkuu, ngoja leo tupate majibu ya uhalisiaPlan za yanga hazimuhusu Kima yoyote, sio kila timu ikifanya hivi ,yanga aige, no
Yanga Ina plan kubwa na mwaka huu ndio mtajua Nini hasa viongozi na timu wamepanga
Plan ya kwanza ilikuwa kubeba vikombe vyote vya ndani na kupata nafasi ya kimataifa ,tumefanikiwa kwa 100%
Pili tupo na malengo ya kimataifa na ligi tutafanikiwa pia,
Hao wanakwenda kujiuza nje huko ,wamefeli kila kitu wamebaki Domo, baada ya mwaka huu hawatakuwa na mdomo Tena zaidi ya kulaumu kocha na wachezaji
OohYanga wanajua wapo kwenye Champions League na wana plan zao hao Al Hillaly nao wana plan zao huwezi kurupuka uanze kucheza mechi kisa mwenzako kafanya kile uta fail
Sawa sawa mkuuUko sahihi.
Je ratiba inaruhusu? Nahisi al hilal kwao hata ligi haijaanza, hivyo kusaka hizo game ni sahihi kwao, ikiwa ratiba inaruhusu si dhambi yanga kutafuta game ya kirafiki, ikiwa ratiba hairuhusu haina haja ya kuforce, wataharibu.