4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Heche, Kwanza pole na majukum ila pia hongera kwa kunimalizia bando maana nakusikiliza sana kwenye ziara mbalimbali za kichama usimamapo jukwaani, kipo kibari kikubwa juu yako, Mungu anasema juu ya nchi hii
Lakini Mungu anakumbusha ahadi yako, uliwahi tamka Kwamba, Siku ukiona chadema ipo mstari usio sahii basi utakuwa wakwanza kufanya maamuzi magum, OK
Yapo maridhiano yanaendelea but Mungu anasema nawe kamwe usije dhubutu kana kiapo husika
Thanks na naishia apo