Kwako Jemedari Said, JefLea na Collegemate Wilson Oruma

Umtama Mula

Senior Member
Joined
Jan 11, 2021
Posts
171
Reaction score
496
Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa.

Lakini mnasahau mambo yafuatayo.

1. Simba kwa barua rasmi aliutarifu umma kuwa hachezi mchezo ule. Kwahiyo Simba aligoma kucheza mchezo, yaliyofuata yote baada ya hapo hayabadilishi chochote kwenye hilo. Hivyo, mtu anaweza kusema Bodi ya Ligi hakuna walichoahirisha kwakuwa hadi wanakaa kikao Simba haikuwa imebadilisha msimamo. Hivyo iko wazi kikao cha Bodi ya Ligi na maamuzi yake yalikuwa juu ya kitu ambachi hakipo. They decided on nothing. Mechi iliisha kwa barua ya Simba hadi wanakaa mechi ilikuwa hamna. Huwezi kiahirisha mchezo ambao tayari upande mmoja umeshasema haupo tena kwa barua rasmi.

2. Baada ya barua ya mgomo ya Simba, Bodi wakafanya Kosa la kuitisha kikao na kufanya boko la kiahirisha mechi ambayo tayari haikuwepo kwakuwa Simba walikuwa wameshasema hawachezi na kwa barua rasmi.
3. Bodi wakacheza Boko la tatu, wakaacha kupeleka Maafisa wa mechi Ili kukamilisha utaratibu wa kuwapa Yanga Pointi 3 kwa mjibu wa Kanuni. Yanga kwa kulijua hilo wakapeleka timu uwanjani.

Kwakuwa Simba waligoma kucheza mchezo, ilikuwa ni wajibu wa Bodi kuendelea na taratibu. Sasa basi, kwakuwa Simba alikosea, Bodi ya Ligi nayo ikakosea, mtu hawezi kusema kuwa makosa ya Bodi ya Ligi yanaifaidisha Simba. Simba ataadhibiwa kwa kugoma kucheza mchezo bila sababu, Bodi ya Ligi itaadhibiwa kwa kushindwa kuwema taratibu za kuipa Yanga pointi 3 kwa mjibu wa kanuni. Na baada ya hayo, yatatoka maelekezo ya yanga kupewa haki yake kwa mjibu wa sheria. Yanga hawezi kunyimwa haki yake kwa makosa ya Bodi ya Ligi kushindwa kutafsiri Sheria.
 
Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa.

Lakini mnasahau mambo yafuatayo.

1. Simba kwa barua rasmi aliutarifu umma kuwa hachezi mchezo ule. Kwahiyo Simba aligoma kucheza mchezo, yaliyofuata yote baada ya hapo hayabadilishi chochote kwenye hilo. Hivyo, mtu anaweza kusema Bodi ya Ligi hakuna walichoahirisha kwakuwa hadi wanakaa kikao Simba haikuwa imebadilisha msimamo. Hivyo iko wazi kikao cha Bodi ya Ligi na maamuzi yake yalikuwa juu ya kitu ambachi hakipo. They decided on nothing. Mechi iliisha kwa barua ya Simba hadi wanakaa mechi ilikuwa hamna. Huwezi kiahirisha mchezo ambao tayari upande mmoja umeshasema haupo tena kwa barua rasmi.

2. Baada ya barua ya mgomo ya Simba, Bodi wakafanya Kosa la kuitisha kikao na kufanya boko la kiahirisha mechi ambayo tayari haikuwepo kwakuwa Simba walikuwa wameshasema hawachezi na kwa barua rasmi.
3. Bodi wakacheza Boko la tatu, wakaacha kupeleka Maafisa wa mechi Ili kukamilisha utaratibu wa kuwapa Yanga Pointi 3 kwa mjibu wa Kanuni. Yanga kwa kulijua hilo wakapeleka timu uwanjani.

Kwakuwa Simba waligoma kucheza mchezo, ilikuwa ni wajibu wa Bodi kuendelea na taratibu. Sasa basi, kwakuwa Simba alikosea, Bodi ya Ligi nayo ikakosea, mtu hawezi kusema kuwa makosa ya Bodi ya Ligi yanaifaidisha Simba. Simba ataadhibiwa kwa kugoma kucheza mchezo bila sababu, Bodi ya Ligi itaadhibiwa kwa kushindwa kuwema taratibu za kuipa Yanga pointi 3 kwa mjibu wa kanuni. Na baada ya hayo, yatatoka maelekezo ya yangu kupewa haki yake kwa mjibu wa sheria. Yanga hawezi kunyimwa haki yake kwa makosa ya Bodi ya Ligi kushindwa kutafsiri Sheria.
You can not teach an old dog new tricks

Huwezi kumfundisha mbwa mzee maujanja, (mbinu mapya)
 
Simba kusema hachezi mchezo kulikuwa hakujaghairisha mchezowa dabi, Bila taarifa ya bodi ya ligi taratibu nyingne zote za mchezo zingefuata na refarii wa mchezo angefika pale na timu iliyofika kwa maana ya Yanga wangepewa haki yao ya points 3 na magoli 3
Kilichotokea ni bodi kughairisha mechi hapo haina uhusiano tena na simba baada ya hiyo barua ya bodi hata simba na yanga wote wangeenda uwanjani hakuna matokeo yaliyokuwa yanatambulika na bodi
 
Hiyo ni tafsiri yako mkuu, tafsiri yangu mimi Bodi waliahirisha mchezo ambao tayari haupo. Simba waligoma kucheza mechi na kwa maandishi na barua ya kugoma ipo na hajawahi kutenguliwa. Bodi hakuna walichoahirisha. Waaahirishe wasihahirisha mchezo ulikuwa tayari haupo kwakuwa Simba walikuwa wameshagoma. Ni kweli Bodi walipaswa wafanye huo utaratibu. Kutokufanya huo utaratibu maana yake Bodi walikiuka kanuni, kama ndivyo, ukiukwaji huo wa Kanuni hauwezi kufanya Yanga ikose haki yake.
 
1. Simba kwa barua rasmi aliutarifu umma kuwa hachezi mchezo ule. Kwahiyo Simba aligoma kucheza mchezo, yaliyofuata yote baada ya hapo hayabadilishi chochote kwenye hilo.
Kwa hiyo timu ikisema kwa barua rasmi kuwa haitaenda uwanjani, lakini ikaenda na kushinda mechi au kupata sare, bado timu pinzani inatakiwa ipewe point 3 kwa kuwa ile ilishatoa tamko la kutokwenda?
 
Kwa hiyo timu ikisema haitaenda uwanjani, lakini ikaenda na kushinda mechi au kupata sare, bado timu pinza inatakiwa ipewe point 3 kwa kuwa ile ilishatoa tamko la kutokwenda?
Ili Simba waweze kucheza mchezo ule walipaswa waandike barua nyingine ya kuitengua barua ya kwanza. Simba ni taasisi, walitoa maamuzi ya kugoma kucheza na waka communicate na t
Taasisi huska na General public. Kwahiyo hata wangepeleka timu uwanjani bila kwanza kutengua barua Ile, hiyo timu isingekuwa Simba, hao wangekuwa wahuni tu na Bodi isingepaswa kuwapokea. Barua Ile ya kugoma hadi leo haijatengiliwa. Simba waligoma na kwa barua rasmi kabisa.
 
Ili Simba waweze kucheza mchezo ule walipaswa waandike barua nyingine ya kuitengua barua ya kwanza. Simba ni taasisi, walitoa maamuzi ya kugoma kucheza na waka communicate
Kwa hiyo mchezo uliopangwa kuchezwa katika tarehe nyingine ambao Yanga wameandika rasmi kutoenda uwanjani kuucheza, Yanga nao wanyang'anywe point hata kabla ya tarehe, muda na uwanja kujulikana?
 
Kila walichofanya Bodi ya ligi baada ya barua ya Simba, ikiwemo tamko la kuwa mchezo utapangiwa tarehe nyingine ni batili, "Void abinitio". Yanga wametoa masaa 72 Bodi iwape Pointi 3. Baada ya hapo wataenda kwenye vyombo huska. Ili huo upuuzi wa Bodi kiahirisha mchezo ambao tayari umeshagomewa, kushindwa kupeleka Officials uwanjani pamoja na Yanga kupeleka timu, utamkwe rasmi kuwa ulikuwa ukiukwaji wa Kanuni, na kama ndivyo, remedy ni Yanga kupewa haki yake kwa mjibu wa Kanuni pale timu inapogoma kucheza mchezo.
 
Simba kusema hachezi mchezo kulikuwa hakujaghairisha mchezowa dabi, Bila taarifa ya bodi ya ligi taratibu nyingne zote za mchezo zingefuata na refarii wa mchezo angefika pale na timu iliyofika kwa maana ya Yanga wangepewa haki yao ya points 3 na magoli 3
Kilichotokea ni bodi kughairisha mechi hapo haina uhusiano tena na simba baada ya hiyo barua ya bodi hata simba na yanga wote wangeenda uwanjani hakuna matokeo yaliyokuwa yanatambulika na bodi
Umemjibu vizuri sana.
 
Taratibu za kupewa point tatu za mezani zipoje, unaweza kunitajia japo chache?
 
1000256339.jpg
 
Taratibu za kupewa point tatu za mezani zipoje, unaweza kunitajia japo chache?
Timu iwepo uwanjani, Maafisa wa mchezo wawepo na baada ya refaa kusubiri mda wa kikanuni uishe, anamaliza mchezo. Hata hivyo, waamuzi, Maafisa wa mchezo na wengine wafananao na hao ni jukumu la Bodi ya Ligi. Yanga walienda uwanjani, lakini Bodi ya Ligi kwa makusudi au kutokujua wakashindwa kutimiza jukumu lao kuipa Yanga alama 3. Makosa ya Bodi ya Ligi kwenye eneo hilo hayatakatishi kosa la Simba kugomea mchezo. Yote yalifanywa na Bodi la Ligi baada ya barua ya Simba ni VOID ABINITIO, yaani ni sawa na bure, kwahiyo tunabaki na pointi, kuwa Simba waligoma kucheza mchezo. Yanga wasingeweza kujipa alama 3 na wasingeweza kuilazimisha Bodi kufanya hivyo. Hata hivyo Bodi italazimishwa kumpa yanga alama tatu na mamlaka za juu za kandanda.
 
Mimi nikikiri kituo Cha polisi kuwa nimeiba au nimetenda kosi haimanishi kuwa kesi imeishia hapo. Lazima taratibu zingine za kisheria zifuatwe ikiwa pamoja na kufikishwa mahakaman.
Kwahyo Simba kusema hatupeleki timu uwanjan haimanishi kuwa Yanga apewe point 3, ilitakiwa taratibu za mechi zifuatwe mpaka mwisho. Waamuzi ilitakiwa wawepo uwanjan, Yanga wakaguliwe, waingie uwanjan, kuna dakika za kusubiri na ikiwa mpinzan hajatokea refa anamaliza michezo na timu husika unapewa ushindi.

Je, tarehe 8 hizo hatua zilifuatwa?
 
Kwahiyo Simba waligoma kupeleka timu uwanjani, halafu Bodi nao wakagma kupeleka march officials Ili kukamilisha utaratibu, inabidi Yanga akose haki yake kwakuwa tu Bodi wameshindwa kutimiza wajibu wao. Bodi walikuwa na wajibu wa kupeleka march officials Ili wawape Yanga haki Yao. Yanga walienda uwanjani kusubiri haki Yao. Mtoa haki akagoma. Hivyo Bodi ya Ligi kugoma kutimiza wajibu wake, hakuondoi hoja kuwa Simba aligoma na kanuni inataka yanga apewe alama
 
Timu iwepo uwanjani, Maafisa wa mchezo wawepo na baada ya refaa kusubiri mda wa kikanuni uishe, anamaliza mchezo. Hata hivyo, waamuzi, Maafisa wa mchezo na wengine wafananao na hao ni jukumu la Bodi ya Ligi. Yanga walienda uwanjani, lakini Bodi ya Ligi kwa makusudi au kutokujua wakashindwa kutimiza jukumu lao kuipa Yanga alama 3. Makosa ya Bodi ya Ligi kwenye eneo hilo hayatakatishi kosa la Simba kugomea mchezo. Yote yalifanywa na Bodi la Ligi baada ya barua ya Simba ni VOID ABINITIO, yaani ni sawa na bure, kwahiyo tunabaki na pointi, kuwa Simba waligoma kucheza mchezo. Yanga wasingeweza kujipa alama 3 na wasingeweza kuilazimisha Bodi kufanya hivyo. Hata hivyo Bodi italazimishwa kumpa yanga alama tatu na mamlaka za juu za kandanda.
Kama haya maelezo yako ni kweli basi hakuna point tatu za mezani kwa Yanga
 
Pointi zipo mkuu, Yanga hana uwezo wa kuilazimisha Bodi ipeleke marefa uwanjani. Yeye alienda uwanjani, Bodi wakagoma kuleta waamuzi Ili watimize utaratibu. Sasa makosa ya Bodi ya Ligi hayawezi kuwa Fanya Yanga wakose haki. Bodi wataelezwa walichopaswa kufanya, then Yanga atapewa haki yake. Alama 3 hazina kipengele kabisa
 
Back
Top Bottom