Kwako Jemedari Said, JefLea na Collegemate Wilson Oruma

Kwa hiyo Yanga mechi ya leo wakiandika barua kuwa hawatakwenda uwanjani, mchezo unakuwa tayari haupo kama ulivyodai hapo juu!?

Jiongeze kidogo pia Ndugu, kosa linakuwa limefanyika pale linapokuwa limetekelezwa. Je, Simba wangeenda uwanjani huku wakiwa wameandika barua ya kutocheza, wangekuwa wamefanya kosa!?
 

Waliandika barua kuwa hawaendi. Unataka nini tena
Kuandika barua hakufanyi liwe kosa mpaka kosa lenyewe litendeke. Acha ushamba wewe
 
Sasa mchezo unakuwepo vipi wakati one of the parties ameshasema hachezi huo mchezo na kwa barua kabisa.
 
Dah


Mkuuu UNAMOYO

HAWA WEHU NA MACHIZI BADO UNAPATA MDA WA KUWASIKILIZAA
.NILISHAWAKATAA SIKU NYINGI

KAMA ULE MTAMBO ORUMA ANAWEZA KUSEMA HILI LEO BAADA YA MECHI ANAONGEA UTUMBOO HUNA PA KUMSAIDIAKIUFUPI WANA
MSHAHARA PALE KWA OMO MKUU WALA USISHINDANE NAOO

NA WASIWASI HATA WAKE ZAO NA WATOTO ZAO KAMA WANAO MANAA KUPATA WATOTO NA AKILI KAMA HIZI MUNGU NAE ANANGALIA USIJE WATESA

WANATESEKA SANA FAMILIA ZAOO
 
Walitoa taarifa kwa uma, mawasiliano rasmi na bodi ya ligi ni ya njia gani?! Mwenye ligi yake ashaamua hata simba angerejesha au kufuata kauli mechi isingetambulika ingekuwa labda ya kirafiki tu.
Mnakaza tu fuvu, mamlaka imeahirisha mchezo mtaucheza tu.
Na ukichezwa urudishe upupu huu tena
 
Na Bodi kwenye kikao chao batili, wakainukuu barua hiyo.
 
Sasa unajuaje kama bila Bodi kauhirisha mechi Simba wasingeenda?
Umesoma taarifa yao kwa uma? Wamesema mle kuwa wasingeingiza team uwanjani. Hii waliisema hata kabla ya mechi kughairishwa
 
Umesoma taarifa yao kwa uma? Wamesema mle kuwa wasingeingiza team uwanjani. Hii waliisema hata kabla ya mechi kughairishwa
Kwani ukiandika sitacheza inakuwa ni kizuizi cha kwenda kucheza?
 
Good mkuu
 
Bila kutengua barua, hakuna mtu atakupokea. Na hata Yanga wasingekubali, maana hao walioenda wangekuwa ni wahuni tu wala siyo Simba
Kwenda kucheza mpira uwanjani siku ya mechi kunahitaji kupokelewa?
 
Kwenda kucheza mpira uwanjani siku ya mechi kunahitaji kupokelewa?
Haihitaji kupokelewa, lakini kama watu wameshaandika barua kuwa hawachezi, halafu ghafla bila kutengua barua ya Mwanzo ukawaona, wewe unaweza kucheza nao?
 
Haihitaji kupokelewa, lakini kama watu wameshaandika barua kuwa hawachezi, halafu ghafla bila kutengua barua ya Mwanzo ukawaona, wewe unaweza kucheza nao?
Kwa hiyo Yanga alienda uwanjani ili acheze na nani wakati Simba imeshasema haiendi?
 
Mwenye mamlaka ya na uendeshaji wa ligi ni nani? tuanzie hapo kwanza
 
Kwa hiyo Yanga alienda uwanjani ili acheze na nani wakati Simba imeshasema haiendi?
Wewe siyo mzima, Yanga alienda uwanjani kama sehemu ya kutimiza utaratibu wa kupewa alama tatu. Naanza kuelewa sasa kwanini nchi hii tuko hivi. Tuna watu vichwa vyenu vinatosha kubebea mbege tu.
Kama unafikiri Yanga ni wajinga kupeleka timu uwanjani subiri ngoma irindime
 
Huko uwanjani ni nani aliikagua na kupuliza kipyenga cha kumaliza mechi baada ya dakika 15?
Ni nani aliyekuwa kamisaa ambaye alichukua taarifa kuwa Yanga ilienda uwanjani?
TFF ilizuia match officials wote wasiende uwanjani maana hakuna mechi tena
 
Simba hanamamlaka ya kuhairisha mchezo alisema lakini yawezekana hakuwana maanisha ila aliwatumia barua bodi ya ligi juu ya kusudio lake! Hila baada ya kusomanakujiridhisha waliahirisha mchezo ili wafanye uchunguzi kwanini Simba alizuiwa kuingia uwanjani! Simba ana kesi mwenye mpira wake ndye kaahirisha mchezo wewe chura una lipi la kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…