Kwako Jemedari Said, JefLea na Collegemate Wilson Oruma

Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa.

Lakini mnasahau mambo yafuatayo.

1. Simba kwa barua rasmi aliutarifu umma kuwa hachezi mchezo ule. Kwahiyo Simba aligoma kucheza mchezo, yaliyofuata yote baada ya hapo hayabadilishi chochote kwenye hilo. Hivyo, mtu anaweza kusema Bodi ya Ligi hakuna walichoahirisha kwakuwa hadi wanakaa kikao Simba haikuwa imebadilisha msimamo. Hivyo iko wazi kikao cha Bodi ya Ligi na maamuzi yake yalikuwa juu ya kitu ambachi hakipo. They decided on nothing. Mechi iliisha kwa barua ya Simba hadi wanakaa mechi ilikuwa hamna. Huwezi kiahirisha mchezo ambao tayari upande mmoja umeshasema haupo tena kwa barua rasmi.

2. Baada ya barua ya mgomo ya Simba, Bodi wakafanya Kosa la kuitisha kikao na kufanya boko la kiahirisha mechi ambayo tayari haikuwepo kwakuwa Simba walikuwa wameshasema hawachezi na kwa barua rasmi.
3. Bodi wakacheza Boko la tatu, wakaacha kupeleka Maafisa wa mechi Ili kukamilisha utaratibu wa kuwapa Yanga Pointi 3 kwa mjibu wa Kanuni. Yanga kwa kulijua hilo wakapeleka timu uwanjani.

Kwakuwa Simba waligoma kucheza mchezo, ilikuwa ni wajibu wa Bodi kuendelea na taratibu. Sasa basi, kwakuwa Simba alikosea, Bodi ya Ligi nayo ikakosea, mtu hawezi kusema kuwa makosa ya Bodi ya Ligi yanaifaidisha Simba. Simba ataadhibiwa kwa kugoma kucheza mchezo bila sababu, Bodi ya Ligi itaadhibiwa kwa kushindwa kuwema taratibu za kuipa Yanga pointi 3 kwa mjibu wa kanuni. Na baada ya hayo, yatatoka maelekezo ya yanga kupewa haki yake kwa mjibu wa sheria. Yanga hawezi kunyimwa haki yake kwa makosa ya Bodi ya Ligi kushindwa kutafsiri Sheria.
Story yako ingeanzia nyuma kidogo
(Makomandoo wa Yanga walivyozuia timu kuingia uwanjani )
Ingetupa mwanga zaid....tatizo la msingi lilikuwa ocherstrated na wajinga wachache lilianzia hapo!
 
Ndio maana na wao Yanga hawapo sawa tu kama ilivyo Bodi na Simba maana vyote ni vitu vya taifa hili
NAAMINI UMENIELEWA BARABARA,ASANTE.KUNA VITU VINATOKEA TANZANIA TU NA SI KWINGINEKO.
 
We ndugu nahisi sio mtu wa mpira na huelewi unachoandika.

Timu moja kugomea mechi haimaanishi kuwa mchezo haupo.

Simba iliandika barua rasmi kugomea mchezo huo saa nane usiku masaa kadhaa kuelekea mchezo husika pamoja na barua hiyo rasmi ya Simba Sc mchezo bado ulikuwa upo palepale.

Barua ya bodi ya ligi iliyotolewa mchana wa siku ya mechi husika ndio iliyokuja kughairisha mchezo huo hivyo kuondoa uhalali wa yoyote kunufaika na matokeo ya mchezo huo maana haupo kwa siku husika

Bila barua hiyo ya bodi ya ligi mchezo wa derby uliendelea kuwepo hata kama Simba Sc wangesusia kwenda uwanjani bado tararibu zote za mechi zingefuatwa na aliyefika uwanjani kwa maana ya Yanga Sc wangepewa points zao 3 na magoli 3.

Barua ya Simba Sc haikuwa ya kughairisha mechi ni ya kugomea mechi, klabu yoyote haina mamlaka ya kughairisha mechi halali isipokuwa bodi ya ligi pekee ndio wana mandate hiyo.
Mchezo unakuwepo pale pale wakati Simba wameshatoa taarifa rasmi ya kugoma. Yaani wewe tafsiri ya kugomea mchezo kwako maana yake nini. Barua inajieleza wazi eti
 
Kwa
Mimi nikikiri kituo Cha polisi kuwa nimeiba au nimetenda kosi haimanishi kuwa kesi imeishia hapo. Lazima taratibu zingine za kisheria zifuatwe ikiwa pamoja na kufikishwa mahakaman.
Kwahyo Simba kusema hatupeleki timu uwanjan haimanishi kuwa Yanga apewe point 3, ilitakiwa taratibu za mechi zifuatwe mpaka mwisho. Waamuzi ilitakiwa wawepo uwanjan, Yanga wakaguliwe, waingie uwanjan, kuna dakika za kusubiri na ikiwa mpinzan hajatokea refa anamaliza michezo na timu husika unapewa ushindi.

Je, tarehe 8 hizo hatua zilifuatwa?
Hiyo kosa la Bodi kunaifantmya Yanga isiwe na Haki? Au kosa hili linatakatisha kosa la Simba kutokuwepo?
Je barua ya Simba ilikuwa official au sio official? Je litenguliwa hata kwa kauli ya mdomo ?
 
We ndugu nahisi sio mtu wa mpira na huelewi unachoandika.

Timu moja kugomea mechi haimaanishi kuwa mchezo haupo.

Simba iliandika barua rasmi kugomea mchezo huo saa nane usiku masaa kadhaa kuelekea mchezo husika pamoja na barua hiyo rasmi ya Simba Sc mchezo bado ulikuwa upo palepale.

Barua ya bodi ya ligi iliyotolewa mchana wa siku ya mechi husika ndio iliyokuja kughairisha mchezo huo hivyo kuondoa uhalali wa yoyote kunufaika na matokeo ya mchezo huo maana haupo kwa siku husika

Bila barua hiyo ya bodi ya ligi mchezo wa derby uliendelea kuwepo hata kama Simba Sc wangesusia kwenda uwanjani bado tararibu zote za mechi zingefuatwa na aliyefika uwanjani kwa maana ya Yanga Sc wangepewa points zao 3 na magoli 3.

Barua ya Simba Sc haikuwa ya kughairisha mechi ni ya kugomea mechi, klabu yoyote haina mamlaka ya kughairisha mechi halali isipokuwa bodi ya ligi pekee ndio wana mandate hiyo.
Kwahiyo mwenye tatizo au kosa ni Bodi si ndio?
 
Hamna namna yoyote Yanga atapewa points 3 za hiyo mechi zaidi ya kuzitafuta uwanjani, mechi haikuwepo siku wanaenda uwanjani na hakukuwa na taratibu zozote za kimichezo siku wapo uwanjani ni sawa walienda kufanya training tu wao kama timu hivyo hawatapewa kamwe points za mezani kama wanavyotamanj
Wewe tulia maswali yako yatapata majibu siku sio nyingi kama point 3 zitakuwepo ama hazitokuwepo,,yanga washaiandikia bodi demand zao na kupinga icho unachokisema kwa maana iyo automatically bodi aiwezi kutangaza tarehe ya mchezo mpya kabla awajamaliza kesi ya mchezo wa awali,,ivyo akuna point za kutafuta uwanjani kwasasa kwakuwa bado akujawa na mechi nyingine!
 
Mimi nikikiri kituo Cha polisi kuwa nimeiba au nimetenda kosi haimanishi kuwa kesi imeishia hapo. Lazima taratibu zingine za kisheria zifuatwe ikiwa pamoja na kufikishwa mahakaman.
Kwahyo Simba kusema hatupeleki timu uwanjan haimanishi kuwa Yanga apewe point 3, ilitakiwa taratibu za mechi zifuatwe mpaka mwisho. Waamuzi ilitakiwa wawepo uwanjan, Yanga wakaguliwe, waingie uwanjan, kuna dakika za kusubiri na ikiwa mpinzan hajatokea refa anamaliza michezo na timu husika unapewa ushindi.

Je, tarehe 8 hizo hatua zilifuatwa?
Wakufuata hizo hatua ni Yanga ? Kwanini Yanga awe victim wa kosa ambalo hajafanya yeye sababu vyote ulivyosema hapo sio jukumu la Yanga kufanya
 
Mchezo unakuwepo pale pale wakati Simba wameshatoa taarifa rasmi ya kugoma. Yaani wewe tafsiri ya kugomea mchezo kwako maana yake nini. Barua inajieleza wazi eti
Kwani kanuni zinasemaje pale ambapo Bodi inaweza kuahirisha au kufuta mechi?
Yanga wamekosea, Simba wakakosea, Bodi wakamalizia kukosea. Wote hao hakuna ambaye hana makosa. Ukipitia kanuni utaona kuna kipengele kinawapa nguvu Bodi kuahirisha mechi.
 
Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa.

Lakini mnasahau mambo yafuatayo.

1. Simba kwa barua rasmi aliutarifu umma kuwa hachezi mchezo ule. Kwahiyo Simba aligoma kucheza mchezo, yaliyofuata yote baada ya hapo hayabadilishi chochote kwenye hilo. Hivyo, mtu anaweza kusema Bodi ya Ligi hakuna walichoahirisha kwakuwa hadi wanakaa kikao Simba haikuwa imebadilisha msimamo. Hivyo iko wazi kikao cha Bodi ya Ligi na maamuzi yake yalikuwa juu ya kitu ambachi hakipo. They decided on nothing. Mechi iliisha kwa barua ya Simba hadi wanakaa mechi ilikuwa hamna. Huwezi kiahirisha mchezo ambao tayari upande mmoja umeshasema haupo tena kwa barua rasmi.

2. Baada ya barua ya mgomo ya Simba, Bodi wakafanya Kosa la kuitisha kikao na kufanya boko la kiahirisha mechi ambayo tayari haikuwepo kwakuwa Simba walikuwa wameshasema hawachezi na kwa barua rasmi.
3. Bodi wakacheza Boko la tatu, wakaacha kupeleka Maafisa wa mechi Ili kukamilisha utaratibu wa kuwapa Yanga Pointi 3 kwa mjibu wa Kanuni. Yanga kwa kulijua hilo wakapeleka timu uwanjani.

Kwakuwa Simba waligoma kucheza mchezo, ilikuwa ni wajibu wa Bodi kuendelea na taratibu. Sasa basi, kwakuwa Simba alikosea, Bodi ya Ligi nayo ikakosea, mtu hawezi kusema kuwa makosa ya Bodi ya Ligi yanaifaidisha Simba. Simba ataadhibiwa kwa kugoma kucheza mchezo bila sababu, Bodi ya Ligi itaadhibiwa kwa kushindwa kuwema taratibu za kuipa Yanga pointi 3 kwa mjibu wa kanuni. Na baada ya hayo, yatatoka maelekezo ya yanga kupewa haki yake kwa mjibu wa sheria. Yanga hawezi kunyimwa haki yake kwa makosa ya Bodi ya Ligi kushindwa kutafsiri Sheria.
Huyo jemedari analiwa kichwa huko jkt
 
Wangeanza hivyo 2021
 
Barua ya Simba iko wazi waligoma kucheza mchezo ule na hadi leo hawajawahi kuitengua. Nadhani wewe utakuwa tahira kabisa

Mchezo unakuwepo pale pale wakati Simba wameshatoa taarifa rasmi ya kugoma. Yaani wewe tafsiri ya kugomea mchezo kwako maana yake nini. Barua inajieleza wazi eti
Kama wakitoa taarifa rasmi ya kugoma kwenye Instagram yao ndio inakuwa wamegoma,zile dakika 30 ambazo marefa huwa wanaosubiri kabla ya kumaliza mchezo huwa ni za nini?Si wangekuwa wanatoa tu points 3 bila kusumbua marefa maadam timu imeshagoma kwenye Instagram yake?
 
Wakufuata hizo hatua ni Yanga ? Kwanini Yanga awe victim wa kosa ambalo hajafanya yeye sababu vyote ulivyosema hapo sio jukumu la Yanga kufanya
Mbona unamtoa Yanga kwenye makosa wakati barua ya bodi inaeleza kuwa walinzi ambao baadhi yao walifahamika kwa sura kuwa ni walinzi wa Yanga walienda uwanjani kuanzisha vurugu?
 
Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa.

Lakini mnasahau mambo yafuatayo.

1. Simba kwa barua rasmi aliutarifu umma kuwa hachezi mchezo ule. Kwahiyo Simba aligoma kucheza mchezo, yaliyofuata yote baada ya hapo hayabadilishi chochote kwenye hilo. Hivyo, mtu anaweza kusema Bodi ya Ligi hakuna walichoahirisha kwakuwa hadi wanakaa kikao Simba haikuwa imebadilisha msimamo. Hivyo iko wazi kikao cha Bodi ya Ligi na maamuzi yake yalikuwa juu ya kitu ambachi hakipo. They decided on nothing. Mechi iliisha kwa barua ya Simba hadi wanakaa mechi ilikuwa hamna. Huwezi kiahirisha mchezo ambao tayari upande mmoja umeshasema haupo tena kwa barua rasmi.

2. Baada ya barua ya mgomo ya Simba, Bodi wakafanya Kosa la kuitisha kikao na kufanya boko la kiahirisha mechi ambayo tayari haikuwepo kwakuwa Simba walikuwa wameshasema hawachezi na kwa barua rasmi.
3. Bodi wakacheza Boko la tatu, wakaacha kupeleka Maafisa wa mechi Ili kukamilisha utaratibu wa kuwapa Yanga Pointi 3 kwa mjibu wa Kanuni. Yanga kwa kulijua hilo wakapeleka timu uwanjani.

Kwakuwa Simba waligoma kucheza mchezo, ilikuwa ni wajibu wa Bodi kuendelea na taratibu. Sasa basi, kwakuwa Simba alikosea, Bodi ya Ligi nayo ikakosea, mtu hawezi kusema kuwa makosa ya Bodi ya Ligi yanaifaidisha Simba. Simba ataadhibiwa kwa kugoma kucheza mchezo bila sababu, Bodi ya Ligi itaadhibiwa kwa kushindwa kuwema taratibu za kuipa Yanga pointi 3 kwa mjibu wa kanuni. Na baada ya hayo, yatatoka maelekezo ya yanga kupewa haki yake kwa mjibu wa sheria. Yanga hawezi kunyimwa haki yake kwa makosa ya Bodi ya Ligi kushindwa kutafsiri Sheria.
umewaandikia barua vilaza hawatakuelewa haswa yule jemedari na upara ule akili hamna kabisa mule
 
Kama wakitoa taarifa rasmi ya kugoma kwenye Instagram yao ndio inakuwa wamegoma,zile dakika 30 ambazo marefa huwa wanaosubiri kabla ya kumaliza mchezo huwa ni za nini?Si wangekuwa wanatoa tu points 3 bila kusumbua marefa maadam timu imeshagoma kwenye Instagram yake?
Kazi ya kupeleka marefa na Maafisa wengine ni ya Bodi ya Ligi. Kama hawataki waende, Yanga hawana uwezo wa kuwalazimisha. Lakini Hilo haliinyimi Yanga haki yake
 
Inaonesha hujaisoma barua ya bodi na hujui mamlaka waliyonayo kikanuni kuvunja au kuahirisha mechi,pia wewe ni kati ya wale wanaoamini kuwa mechi imeahirishwa kwa sababu Simba wamenyimwa fursa ya kufanya mazoezi au kwa sababu Simba wamegoma wakati barua ya bodi imeeleza wazi sababu na kanuni inayowapa uwezo wa kuahirisha mechi
 
Back
Top Bottom