Kwako jirani yetu Irene Uwoya

Hahaha! Hawawezi kunishika kiasi hicho bhanah!!.. Siku hizi umeadimika Sana wewe mwanamke. Sijui uncle karudi kutoka America.?
oyaa hizi stori zenu simulianeni huko mahomu kwenu
 
Nendeni mahakamani ni kazi ndogo sana tu hiyo
 
Yaani wako wengi akina irene , kama jirani yang hapa ni kero kwa kweli hafu cjui huwa hawajishtukizia mtaa mzima wasikika wew na mikelele yako, pombe nyingine n hatari cjui wanawazaga nini katika vichwa vyao, cjui huwa wanafkri wengine hawana redio ni ulimbkeni wa hali ya juu,
 
Majirani wa siku hizi wanawasiliana jf [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Hii inaitwa koma kuringa!
 
Kwenye ofisi za manispaa kuna maafisa kero ni vyema mkampeleka huko,hawa mastaa uchwara usitegemee onyo la namna hii wanaweza kulitii
 
Mama Krish kumbe amepanga ustaa wa bongo Mmmmh ni kuweka heshima kwenye kideo na barabarani tu
 
Sheria zipo zakushughulikia watu km huyo, kisanya sahihi walao tano wanaokerwa na sauti kubwa ya huo muziki peleka Serikali za mtaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…