oyaa hizi stori zenu simulianeni huko mahomu kwenuHahaha! Hawawezi kunishika kiasi hicho bhanah!!.. Siku hizi umeadimika Sana wewe mwanamke. Sijui uncle karudi kutoka America.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oyaa hizi stori zenu simulianeni huko mahomu kwenuHahaha! Hawawezi kunishika kiasi hicho bhanah!!.. Siku hizi umeadimika Sana wewe mwanamke. Sijui uncle karudi kutoka America.?
Kwa Jmoy alishahama kitambo atakuwa anakaa ununio.Taarifa nishamfikishia baba mwenye nyumba anayoishi ambaye ni j moo
Kota Lako wewewewe unalala pangon ngese ww
Kwendraaaaoyaa hizi stori zenu simulianeni huko mahomu kwenu
wewe ngedere ushapeleka mazao mnadanKwendraaaa
How can he /she mind his business if one cannot sleep the whole night..Umejaribu whole fata ukaongea nae kuhusu hili?mind your bussiness.
ivi hakupataga viti maalum???Mkuu sio "nyumba ya kupanga" ni chumba cha kupanga au hujamuelewa mtoa mada.. Hana hadhi ya kupanga nyumba kwa sasa kwani kafulia hana kitu
Nendeni mahakamani ni kazi ndogo sana tu hiyoHata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.
Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.
Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee
Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.
Hii inaitwa koma kuringa!Mkuu hio mbn ni rahisi tuu, siku unajua leo yupo na hakuweka mziki washa pikipiki, tafuta chumba kilicho karibu na chumba chake kama unauwezo wa kupata pikipiki kwa fundi gereji azima, nunua japo lita 3 za petrol, toa ekzozi, washa mashine wakati unajua anataka kulala. ila siku hiyo itaidi uombe radhi kwa majirani wengine pia, naamini hata akikufata utakuwa na jibu zuri kwake.
We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
Kwenye ofisi za manispaa kuna maafisa kero ni vyema mkampeleka huko,hawa mastaa uchwara usitegemee onyo la namna hii wanaweza kulitiiHata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.
Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.
Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee
Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.
aaa wapi wajumbe walimmega wakamuachaivi hakupataga viti maalum???
HahahahPiga simu polisi sema chadema wameweka mziki mkubwa utaona
Jmoo yule mwanamuziki.?Kwa Jmoy alishahama kitambo atakuwa anakaa ununio.