Kwako jirani yetu Irene Uwoya

Kwako jirani yetu Irene Uwoya

Hahaha! Hawawezi kunishika kiasi hicho bhanah!!.. Siku hizi umeadimika Sana wewe mwanamke. Sijui uncle karudi kutoka America.?
oyaa hizi stori zenu simulianeni huko mahomu kwenu
 
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.

Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.

Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee

Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.
Nendeni mahakamani ni kazi ndogo sana tu hiyo
 
Yaani wako wengi akina irene , kama jirani yang hapa ni kero kwa kweli hafu cjui huwa hawajishtukizia mtaa mzima wasikika wew na mikelele yako, pombe nyingine n hatari cjui wanawazaga nini katika vichwa vyao, cjui huwa wanafkri wengine hawana redio ni ulimbkeni wa hali ya juu,
 
Majirani wa siku hizi wanawasiliana jf [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Mkuu hio mbn ni rahisi tuu, siku unajua leo yupo na hakuweka mziki washa pikipiki, tafuta chumba kilicho karibu na chumba chake kama unauwezo wa kupata pikipiki kwa fundi gereji azima, nunua japo lita 3 za petrol, toa ekzozi, washa mashine wakati unajua anataka kulala. ila siku hiyo itaidi uombe radhi kwa majirani wengine pia, naamini hata akikufata utakuwa na jibu zuri kwake.

We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
Hii inaitwa koma kuringa!
 
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.

Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.

Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee

Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.
Kwenye ofisi za manispaa kuna maafisa kero ni vyema mkampeleka huko,hawa mastaa uchwara usitegemee onyo la namna hii wanaweza kulitii
 
Mama Krish kumbe amepanga ustaa wa bongo Mmmmh ni kuweka heshima kwenye kideo na barabarani tu
 
Sheria zipo zakushughulikia watu km huyo, kisanya sahihi walao tano wanaokerwa na sauti kubwa ya huo muziki peleka Serikali za mtaa.
 
Back
Top Bottom